watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

    Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji. Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

    Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini. Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: Watanzania tufanyeje ili tuwe na vipato vikubwa?

    Habari za mchana wakuu, Baada ya habari na hasa tambo serikali iliyopita kuhusu nchi kuingia uchumi wa kati,ikibidi nijiridhishe kwenye vyanzo mbali mbali. Ndio nikaja kugundua uchumi wa kati unaozungumziwa na watawala wetu kama njia ya kujisifu/kuonekana wanafanya kazi,ikiwa ni kama lengo la...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya Diamond akiwashangaa Watanzania kulalamikia utekaji na forgery za vyeti vya watawala

    Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani. Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunatawaliwa na chama kilichokufa

    CCM ya leo sio ile tuliyoizoea. Leo ndani ya CCM kuna teams (au Magenge) yanalana yenyewe kwa yenyewe. Kama ni mnyonge utabakia kupiga makofi tu hata mle bungeni ila ukinyoosha kidole na kunyooshea wengine vidole, utakiona kilichomfanya kuku awe kuchere. Na wapo wengi tu wamehama basi imekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wamemtupa Rose Muhando porini, ameokotwa na Wakenya

    Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango chake kimebakia juu pamoja na kwamba umri wake kwa sasa umesogea. Album kali kabisa ya Rose Muhando...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tumpigie kura Diamond kijana wetu

    Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení. Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  14. JamiiForums Tanzania Kisa cha mtu aliyebeba punda na Watanzania

    Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Charles Mwijage: Watanzania hawataki uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine

    Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

    Waswahili wenzangu huwa wanapenda kusema kizuri kula na nduguyo. Najua wengi tu wanapenda kuishi Europe, pengine sio kwa sababu ya ugumu Sana uliopo bongo Bali ni sababu ya maisha ya huku yalivyo. Nitaongelea zaidi Norway kwa kuwa ndio nipo. Kwanza kabisa ugumu upo popote pale hivyo usije...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia Teuzi za viongozi

    Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado najiuliza sana,hizi teuzi teuzi zinakuaga na jipya gani zaidi ya taratibu tu za uongozi? Binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Wanabodi, Nawaomba Sana na kuwasihi Watanzania wenzangu tuitunze na kuienzi tunu yetu ya taifa inayoakisi malezi na maadili yetu ya kitanzania ambayo Ni heshima na uungwana kwa binadamu wenzetu. Hivi karibuni kuna magenge yanazuka mitandaoni yakimkosoa Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi

    CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi. 1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea. 2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa wachache na haijawahi tokea mpaka kuchukua jimbo la Mbowe. 3) Uchaguzi wa serikali za mitaa CCM ilishida na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…