watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

    Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru. Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF...
  2. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

    Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza. Mdude nyagali amenishangaza vipi? Tabia inayoota mizizi hapa nchini. Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  4. JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wakikuona unavyo vingi wanataka mgawane?

    Hii tabia inaboa sana kwanza kwa Watanzania. Yani ukiwa na simu zaidi ya tatu kila unapokwenda lazima ukutane na yeyote kwanini usinipe moja, wakati japo yeye anayo. Ukiwa na gari zaidi ya mbili basi kama umetengeneza tatizo kwa wanaokuzunguka utasikia”una magari mengi bora ungetupa moja” sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania tuamueni lililosahihi hapa tafadhali

    Je, tung'ang'anie Katiba Mpya huku Uchumi wetu Ukidorora au tuimarishe na tukuze Kwanza Uchumi wetu na Katiba Mpya tuwaachie Vizazi vijavyo? Leo nitakuwa ninasoma tu Maoni yenu.
  7. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania 'tulioshadadia' Mitandaoni 'Kumfitinisha' Msanii Diamond Platinumz na Tuzo za BET ambayo ameikosa tuliifikiria Tanzania zaidi?

    1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa? 2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache hii tabia ya kuwasifia viongozi kupitiliza, tunawaharibu

    Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi? Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapoambiwa kuwa Tanzania inakuwa 'Rebranded' ni vyema pia tukaambiwa nani 'aliichafua', lini na kwa manufaa gani

    Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji. Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

    Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo. Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote. Hatutakaa...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nipende Kuungana na Watanzania Wenzangu Wapenda haki Kudai Katiba Mpya.

    Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

    Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana. Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa kutofautiana tu pana watu wamekufa, wamepotezwa, wamejeruhiwa, wamedhulumiwa, na mengi ya namna hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania waaswa wasome, waache kuogopa ushindani, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24

    Duh! Mama Suluhu ameamua hatolinda uzembe, aidha ujitume na kupambana au uachwe nje, vibali kwa wageni kutolewa ndani ya masaa 24. Ifahamike mpaka muwekezaji anaingia gharama zote za kuomba kibali kwa ajili ya mgeni, anamgharamikia usafiri na mambo mengine mengi ni dhahiri anamhitaji, sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tusikubali nchi yetu kuwa inaibiwa na wachache wanaodhania kuwa wao wana akili nyingi. Hii nchi sio mali ya WanaCCM wachache.

    Tukubaliane kabisa kuwa CCM imepewa madaraka kuongoza nchi kwa niamba ya watanzania mil 60 bila kujali itikadi zao. CCM kuwa madarakani sio sababu ya wanaCcm wachache ambao walishakuwa viongozi kujifanya wao na familia zao wanajua sana kupiga madili makubwa na kunufaisha matumbo yao. CCM kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

    Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa. Kwa muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…