Watanzania tujifunze kueshimiana

Watika

Member
Feb 9, 2014
18
17
Habari wakuu

Kisa ninachosimulia kimenitokea leo hii, nimeenda sehm kumfanya shopping ya vitu vidogo vidogo. Nikapita se kuna maduka mawili , nikaingia la Kwanza nikanua vitu ninavyoovihitaji.

Baadae nikatamani sana niweze kununua vitu kwenye Duka dogo la pili, lengo likiwa ni kugawiana riziki Tu, ili angalau hata huyu WA pili nimungushe kidogo.

Kitu nisichokifahamu ni kwamba kumbe MTU mme na make wa duka la pili yeye na make wake wamechukia kwa nini ninunue vitu kwenye Duka la Kwanza, nilihisi hivyo baada ya kuona reaction zao.

Nikiwa naweweseka,natamanj niondoke, ndani natamani kununua pale Duka la pili, lengo likiwa kuwauungisha WA dula la pili .Gafla napokea maneno kwamba wewe kwanini unaweweseka huku mara Kule?Hee, mara mke anadakia hivi wewe umezaliwa na Baba Au mama? I was shocked kusikia maneno kama hayo kutoka Kwa MTU ambaye hata hanijui nimetoka wapi.

Serious watanzania tupo hivi?

Je, kosa langu ni Ile kurudi dukani kwake na kuangalia bidhaa ili angalau ninunue kwake, sometime MTU unaamua kununua vitu, si Kwa kwamba unavihitaji lkn ni namna pia ya kusaidiana na kusuppotiana.

Watanzania tubadirike, tuheshimiane, heshimu mtu yoyote hata kama humjui. Wengi wetu tunapowajua watu ndipo hujinyenyekesha na kuwapa kila aina ya heshima uchwara. This is so stupid.
 
Ungewaambia msiniletee shobo, wewe na mkeo nendeni mkapigwe miti kwaa zamu zamu.

Pita na mia chap.
 
Umeshawahi kununua bidhaa kwa wahindi unaweza kutukanwa matusi kisa unachelewa kuhesabu ela
 
Gafla napokea maneno kwamba wewe kwa nini unaweweseka huku mara Kule?Hee, mara mke anadakia hivi wewe umezaliwa na Baba Au mama?

This is so stupid.[/QUOTE]\



pole mkuu.
 
Haahaaahaa kuna muda hua inanitokea naenda sehemu kununua bidhaa unakuta watu zaidi ya watatu wanauza bidhaa moja,utakuta wanakukata majicho mbaka unaogopa aisee ukienda kwa mmoja wapo wale wangine watakuangalia kama mapaka shume
Haaahaahaaahaaa hua naishia kucheka tu!
 
Achana na mawazo hayo! Huwezi kumpa riziki kila mtu, na watu wenyewe ndio hao, hawana utu! Ndio maana duke lao dogo, hawaoni thamani ya mteja!
 
Back
Top Bottom