watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete umeshidwa kupatanisha Watanzania wenzako, umewezaje kwa Wazambia?

    Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi, Tunamshukuru kwa jambo hilo. Lakini swali letu linabaki kuwa...
  2. Informer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn

    Habari za Leo wakuu, Linapokuja swala mitandao, watanzania hawapo nyuma kwenye kutumia mtandao wa professionals wa LinkedIn. Naomba tujuzane watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuunganeni kukemea uovu bila kujali itikadi zetu za vyama

    Watanzania muda umefika wa kuweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na badala yake tuungane kupinga uonevu na dhuluma. Rais anasema watanzania wameridhika na tozo. Hakuna mtanzania aliyeridhika na tozo, tuungane tukatae kwa kauli moja hii dhuluma. Kama vyanzo vingine vya mapato hawavioni...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

    England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

    Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema. Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
  9. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna Shukrani. Kuna Kipindi Tushukuru kwa haya

    Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini. Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki. Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tuchanje mvua au tuote jua? By Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM

    Wanabodi, Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari. Karibu. Paskali TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA? Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM. Ugonjwa wa kirusi cha korona (COVID-19 au UVIKO-19), kwa mara nyengine tena unaku wa ni...
  13. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

    Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
  14. comte

    JamiiForums Tanzania MKAPA: Watanzania wamekuwa watu wa kudai kuhudumiwa zaidi kuliko kujitahidi kijitegemea

    Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:- Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second term in office, it seemed people were becoming more demanding and less willing to help themselves...
  15. Mtini

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

    Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini. Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaongoza Watanzania kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi, hayati Elias John Kwandikwa

    Tukio liko mubashara TBC. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. RIP Kwandikwa ====== Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza shughuli ya Kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi na JKT, John Kwandikwa, leo tarehe 6 Agosti, 2021 Kinachoendelea kwasasa ni katibu mkuu kusoma wasifu wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukicheka na Nyani utavuna mabua

    Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema. Ukiona kiongozi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waombe radhi Umma wa Watanzania kwa kutaka kuleta uvunjifu wa Amani japokuwa wamedhibitiwa

    Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya. Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe. My take: Kuwa na...
Back
Top Bottom