Kilimanjaro International Airport ipo tayari kupokea watalii

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,768
2,000
May 20, 2020
Kilimanjaro international airport
Tanzania

RC MRISHO GAMBO ATINGA UWANJA WA KIA KUKAGUA MAANDALIZI YA KUPOKEA WATALII "KUNA VIFAA VYAKUTOSHA"

Hii ni baada ya hotuba ya Mh. Rais huko Chato Geita kuwa sasa watalii waje Tanzania huku wakizingatia maelekezo yote kuhusu afya yanayotolewa na wizara ya afya Tanzania

Source : Millard ayo
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,903
2,000
..hili siyo tangazo la utalii, bali ni kutisha watalii.

..kama Tz hakuna covid19, basi viongozi wavue hizo mask na gloves ili kuwahakikishia watalii kuwa life has returned to normal in Tanzania.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,768
2,000
May 20, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania reopens its airspace, tourist operators and travel agencies are overwhelmed with inquiries

More info :
May 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Magufuli is calling for country to open up

“As I am talking here,” “some airline operators are fully booked – until August – with tourists who want to visit Tanzania.”
Source : Tanzania's president shrugs off Covid-19 risk after sending fruit for 'tests'
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,385
2,000
..beberu hawezi kuja wakati anayemkaribisha kavaa mask.

..na kabla hajaja lazima athibitishe na ubalozi wake kama hali ni salama.
wewe ni mpumbavu

swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa

Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa

Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu

Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
2,937

Je, wewe ndie msemaji wa watalii toka Sweden?

Hivi mpumbavu sio yule anayetembelea kiwanja cha ndege kukaribisha watalii, wakati tumeambiwa maabara yetu haifanyi kazi, na yule anaeamini kweli watalii watakuja Tz kwenye mazingira kama hayo huku akitumia lugha kali kutetea!, wakati wazungu wanapanda ndege kurudi kwao?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,903
2,000
wewe ni mpumbavu

swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa

Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa

Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu

Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga

..mngesisitiza wananchi wakalime.

..hili la utalii ni kupotoshana tu.
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,385
2,000
Je, wewe ndie msemaji wa watalii toka Sweden?

Hivi mpumbavu sio yule anayetembelea kiwanja cha ndege kukaribisha watalii, wakati tumeambiwa maabara yetu haifanyi kazi, na yule anaeamini kweli watalii watakuja Tz kwenye mazingira kama hayo huku akitumia lugha kali kutetea!, wakati wazungu wanapanda ndege kurudi kwao?!

Sent using Jamii Forums mobile app

wewe unataka nini sasa, hujitambui kijana!

Lazima shughuli ziendelee huku tahadhari ikichukuliwa, wewe mbona unaonekana kilaza hivo.

Duniani kote wanajua huu ugonjwa na taratibu za kiafya kujikinga sasa unataka wakae ndani, wakati wanataka kutembea, mbaya zaidi ugonjwa upo sanaa, chanjo kupatikana sio leo.

Sasa sijui wewe umelogwa, tatizo lako nini hasa?
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,656
2,000
Screenshot_20200520-152307.png

Anga limefunguliwa lakini liko tupu
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,903
2,000
Hata iweje hali itachukua muda mrefu ili kurudi kama ilivyokuwa awali

..tatizo bwana mkubwa akisema UONGO watu wa chini yake wanaanza kuhangaika kumfichia AIBU kwa wananchi.

..bila uchumi wa nchi za mabeberu ambako ndiko watalii wengi wanatokea kutengemaa sekta yetu ya utalii haitoweza ku-perform vizuri.

..kupatikana kwa VACCINE pia kunaweza kusaidia kuwawezesha watalii kuwa na confidence ya kwenda popote duniani na wasiwe na hofu ya covid19.
 
Chesty

JF-Expert Member
Aug 30, 2009
5,784
2,000
wewe ni mpumbavu

swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa

Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa

Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu

Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga
Unalinganisha Sweden na Tanzania badala ya Burundi na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,656
2,000
..tatizo bwana mkubwa akisema UONGO watu wa chini yake wanaanza kuhangaika kumfichia AIBU kwa wananchi.

..bila uchumi wa nchi za mabeberu ambako ndiko watalii wengi wanatokea kutengemaa sekta yetu ya utalii haitoweza ku-perform vizuri.

..kupatikana kwa VACCINATION pia kunaweza kusaidia kuwawezesha watalii kuwa na confidence ya kwenda popote duniani na wasiwe na hofu ya covid19.
Awamu hii inaongoza kwa uongo uongo huku madeni ya Nje sijui kama yanalipika
 
kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,274
2,000
..tatizo bwana mkubwa akisema UONGO watu wa chini yake wanaanza kuhangaika kumfichia AIBU kwa wananchi.

..bila uchumi wa nchi za mabeberu ambako ndiko watalii wengi wanatokea kutengemaa sekta yetu ya utalii haitoweza ku-perform vizuri.

..kupatikana kwa VACCINE pia kunaweza kusaidia kuwawezesha watalii kuwa na confidence ya kwenda popote duniani na wasiwe na hofu ya covid19.
Kwanini wawe na hofu while hata uko kwao ipo yani unazungumza as if wakija tanzania wanakuja kuambukizwa wakati huko kwao ndio imejaa ila wao wameamua kuichukulia poa uwe unasikiliza vyombo vya habari vya kimataifa uone ulaya hali ikoje
 
Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,468
2,000
Naamini yupo beberu mjinga na mbishi ambae badala ya kufanya tathmini ya ugonjwa ulivyomuathiri na uchumi wake ulivyoathirika na awaze namna ya kuujenga upya, yeye aanze kutembea duniani kushangaa tembo na twiga wa Africa.
Ujinga mzigo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom