Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
459
1,004
Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
31,773
129,907
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee

Nb: nina hakika hatumii un official wasap
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
14,292
33,680
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee
Mimi baada ya kujua status Ni Nini,nilitumia Kama siku 3 hivi ku-observe watu hua wanapost Nini.

Aisee Kuna watu Nilikua nawaheshimu Sana lkn upumbavu niliouona wanaupost nilikuja kuona Ni bure kabisa na nika-conclude Kwamba haya Ni Mambo ya watoto au labda ya wanawake (no pun intended) ndio yanawafaa.

Sijawahi kuangalia hayo mambo ya status tena.

Anaeweka status Yuko sawa kwa mtizamo wake,na asieweka status nae fresh tu.

To each their own.
 
Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
1,789
6,253
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee
Itakua anajiunga MB moja
 
Carlitos Way

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
1,031
2,068
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee
Ushamba tuu....huku mamtoni mawaziri hadi marais kutwa wapo kwenye social media. Hao waturutumbi wapo nyuma sana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
14 Reactions
Reply
Top Bottom