wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  2. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka

    Wasaalam Wakuu, Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi kwa sababu Mosi , ni Mila na Desturi zangu kumtaka hali kila uchao lakini pili nlitaka kuchota...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa na bidii na elimu lakini wapo mtaani wanadharaulika kwakuwa jamii iliweka matarajio makubwa

    Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga. Katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam Kupitia Mkwawa Kitu Gani Mmeandika Hapa?.

    Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tafiti za wasomi zisaidie Taifa

    Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania Natamani: 1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

    Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu. Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza. Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wale madada zangu Wasomi wanaharakati

    Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume. Haya utafiti wa huko ulaya.
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

    Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

    Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

    Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi. Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao...
  14. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

    Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
  15. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wasomi wetu wamekosa mvuto, nini kafanyike?

    Zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati nikiwa ningali mwanafunzi wa shule ya msingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufikia elimu ya Chuo Kikuu. Wakati huo sikuwa na matamanio ya kuwa daktari bingwa, mwandishi nguli au mwanasheria aliyebobea kwa sababu niliamini nikifika Chuo Kikuu nitayafikia matamanio...
  16. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vyuo Vikuu, tuzalishieni wasomi na siyo wasomaji

    Tofauti kubwa iliyopo kati ya “MSOMAJI” na ‘MSOMI” ni kwamba mmoja husoma au kutamka kile kilichoandikwa “mbele” yake na mwingine husoma au kutamka kile kilichoandikwa “ndani” yake. Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema mmoja huamini sana katika kile anachokiona kwa muonekano wa nje na kisha...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningesoma sosiolojia ili kusaidia jamii kuliko kusaidia wahalifu kama wale mawakili wasomi wanavyojinadi

    “I am a sociologist because. . . .” I am curious about the world in which I live I am fascinated by all things social I am intrigued about why people do the things they do I am interested in how people interact with each other I believe that society is a human invention and I want to know how...
  18. Gnyaisa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana tukijitambua jamii itatuheshimu na kutuwezesha

    Katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna simulizi maarufu ya safari ya wana wa Israeli kutoka uhamishoni Misri kuelekea katika nchi waliyoahidiwa na Mwenyezi Mungu. Nchi iliyokuwa na kila aina ya neema na furaha, yenye kutirirsha maziwa na asali masaa yote! Simulizi ile inaelezea jinsi wana wale...
  19. Btitle

    JamiiForums Tanzania SoC01 Chanzo cha umaskini kwa wasomi wa Afrika

    Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili 1...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Madhara yawapatayo namba kubwa ya wasomi mitaani

    Asilimia kubwa ya familia zilizopo Tanzania wazazi na walezi wameweka imani yao katika Elimu na hata kuwaza kwamba pasipo elimu hakuna mafanikio hali hii imeathiri hadi watoto wa wazazi hao na kusababisha wanafunzi kuweka imani yao katika masomo pekee, na kwamba bila kusoma kwa bidii hakuna...
Back
Top Bottom