Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
804
1,904
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.

Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)

Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.

Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).

Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.

Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
 
Mara nyingi wanaume tunaogopa wanawake 'smart' kwa kukimbia challenges zao pale tunapotaka kufanya maamuzi.

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wengi tunataka tukiamua jambo la kifamilia tufanye bila kuulizwa!! Wanawake hao hawawezi kukaa kimya, ugomvi unaanzia hapo!!
 
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.

Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)

Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.

Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).

Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.

Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Yamkini umri ndio umemtuliza. Natania Tu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Unasema unamfahamu zaidi?ulikutana naye ukiwa unasoma na maisha nje ya hapo unayafahamu?moyo wake unaufahamu?asikuigizie wema aiseeh

Ahsante kwa taarifa

Huyo binti amenipata mume niko hapa...apande Scandinavia kuja huku kijijini tufungue ndoa
 
Ndugu yangu huwajui wanawake, kuna tofauti ya kupiga naye stori na kuishi naye.

Mwanamke akikosa kitu fulani ndo anatulia,
There you are bro... Business plan ya mwanamke na uhalisia ni kama mbingu na ardhi mkuu... Wewe hua una mawazo kama yangu na ukisema umsikilize mwanamke utamuonea huruma ukisema ujue uhalisia utaishia kumshangaa na kutokumuelewa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi cha nyuma nina mwanangu mmoja ana demu anamfahamu yupo kwenye haya mashirika ya kimataifa akataka ni pigia cross dongo ni kamwambia mimi sasa sina time na demu yoyote kwani kuna demu alini vuruga ni kaamua ni focus na issues zangu.

Mwaka jana kuna mwengine kutoka kampuni kubwa ya kimataifa ya Telecom,kuna shemeji yangu mmoja anatamani ni niwe naye wakati Wifi yake anamjua.
 
Mimi niliwahi date na demu alieachwa na jamaa mmoja ilikua publically mana ilikua kwenye taasisi ikaonekana kama mshikaji alimuonea demu maana alipata demu tajiri kwao... Mwanzo yule demu anapretend unahisi huyu ni malaika na yule demu alikua anamlaumu sana jamaa ila katika uhusiano na yule dada niliona ilikua halal kabisa yule demu kuachwa na hata mimi niliishia kumuacha, nikaja kugundua mwanamke sio tu wa kutomwamini bali ni kutozingatia issue zao kuhusu mahusiano pia.. imagine unakutana na mdada yuko so desperate kutaka kuolewa na anapata after sometime ukisikia anayomfanyia mwenzi wake hutaamini kama ni yule

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli wanaviburi na si sababu nyingine wapo wasomi wengi wameolewa sababu hawaleti viburi.

Kwenye kudate tu wakulungwa unaona kama huyu anafaa kua wife au la!

NB: Kuna tofauti kubwa kati ya mpenzi wako na rafiki yako. Mwanamke akiwa rafiki yako anakua a most understanding individual na anatumia logic kudeal na changamoto mbalimbali ila akiwa mpenzi tu sahau kuhusu hizo logics na upumbavu mwengine wa design hiyo kisirani kinaingia. Wewe umemuanalyse katika friendly perspective na sio kama mpenzi.
 
Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu.

Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga story za skonga, then si akafunguka na kudai amechoka upweke, akaniambia kwamba kama ana mtu aliye tulia na mwenye kazi ya kumuingizia kipato ni muunganishie. Yaani ukimtizama sura yake unajua kabisa haya maneno yana toka ndani ya uvungu wa moyoni (yani zile tenzi za roho)

Honestly niliingiwa na kahuruma fulani sababu yule binti file lake ninalo katulia ila ndio hivyo nahisi jamii yetu ya wanaume kama tumeamua kuhukumu wanawake wote wasomi na wenye hela wana viburi, ila kwa yule binti ni tofauti.

Basi nikamtia moyo nikamwambia usijali kuna vijana nitajaribu kuwa shawishi (hao vijana wangu wenyewe mabachela sasa ni watu wa chini kishenzi).

Binti yupo vizuri kishenzi shule ipo hela anayo ila ndio hivyo tena umri umeenda yaani wakati napiga nae story nilitamani nifanye replacement ya huyu niliye nae kwani alinivuruga msimu huu wa sikukuu nikamlia bati mpaka karibia na mwaka mpya,bahati nzuri aliniomba msamaha.

Ila mabinti wasomi na wenye hela zao ambao wapo tayari kuishi maisha ya ndoa na kuwa heshimu waume zao wapo. Sometimes tusi-generalise sana. Japo kweli dada zangu wenye hela na elimu WENGI WAO ni viburi mbele ya wanaume wao.
Wakishapata balaa linaanza
 
Zama PM mwamba nicheki nae nidate na msomi mwenye msimamo anything can happen,
 
Back
Top Bottom