NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza?
Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali.
Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna
Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali.
Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna
- Udsm chuo cha afya,
- Udsm chuo cha computer,
- MUST,
- Mzumbe,
- TIA,
- CBE,
- ADEM
- Vyuo vya unesi hivi vipo kibao
- vyuo private vipo vingi tu kama Saut lakini kinashindwa kutamba kama huko Mwanza