wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii

    Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru. Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama unataka kulamba asali bila wasiwasi soma degree ya manunuzi

    Habari! Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki. Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija. Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu. Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na haya mawasiliano ya wife na karani mwenzie wa sensa

    Za saizi waheshimiwa Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa. Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shule zafunguliwa huku kukiwa na wasiwasi wa kukatizwa kwa kalenda ya Masomo

    Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda uliopotezwa Wadau wamedai kuwa Ratiba inaweza kuathiriwa zaidi iwapo Mahakama ya Juu itaamuru...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti wasiwasi

    Weekend nilikuwa nimekaa na washikaji zangu wanne sehemu tunakunywa pombe wote ni watumishi wizara mbalimbali na sio wenyeji wa huu Mkoa. Sasa pembeni ya ile bar alikuwepo amekaa jamaa fulani ambaye kwa maelezo ya washikaji zangu ni Kuwa jamaa ni usalama wa taifa japo mimi sina uhakika sana...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
  8. Bujibuji mafuriko

    JamiiForums Tanzania Ukinunua gari kwa dalali, wasiwasi

    Najua ujanja duniani ni mwingi Sana. Gari la mkononi ni chombo ambacho usipokuwa makini unapigwa mchana kweupe pee. Wengine Hadi wanaacha kuagiza Japan au uarabuni ni hofu ya kupigwa. Mimi ni miongoni mwao. Madam hakuna kampuni nchini itayonohakikishia gari chessis namba flani IPO na mmliki...
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-un wa North Korea atiwa wasiwasi na maputo yaanayorushwa na mahasimu wake

    Wapinzani wa mtawala wa North Korea ambao wengi wao wako korea ya Kusini wamekuwa wakipeleka misaada jamaa zao walioko Korea ya Kiduku kwa kutumia maputo maalum yaliyojajwa hewa ya helium. Misaada amabayo imekuwa ikipelekwa kwa njia hiyo ni pamoja na madawa, barakoa na tembe za Vitamin c...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zatiwa wasiwasi na hasira na kuongezeka kwa ushawishi wa China barani Afrika

    Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Wananchi wa Loliondo wanaohofia kuhamishwa, wasiwe na Wasiwasi (Machi, 2013)

    Salaamm Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
  12. Gama

    JamiiForums Tanzania Wahamaji wanatakiwa kuhamishiwa Rwanda kutoka Uingereza waonesha wasiwasi

    Wazamiaji wanaotoka nchi mbalimbali na kukimbilia Uingereza wameonesha wasiwasi kuwa wanaenda kuishi katika mateso kwakuwa wanajua kuwa hakuna amani na demekrasia katika nchi ya Kagame Migrants say Rwanda deal won't stop them 7h ago © BBC Five weeks after the UK announced a deal with Rwanda...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonipa wasiwasi kuhusu 'Yellow card App' (mfumo wa kununua sarafu za kidigitali)

    Dunia kila siku inabadilika kulingana na teknolojia inataka nini! Wale walio jikita na sarafu kama bitcoin mtakuwa mnafahamu kuwa bitcoin thamani yake ni kubwa na si rahisi kuinunua kama mgeni au kipato kidogo. Baada ya wamiliki kuwa wengi walianzisha mtindo wa kununua kwa njia P2P ambayo...
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, wako wapi wakongwe hawa?

    Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
  16. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Nina siku moja tangu nimemaliza dawa za UTI naweza kunywa pombe?

    Mimi na siku moja nimemaliza dozi za UTI , sasa leo nimejikuta na kunywa pombe ,naomben ushauri je nimekata dozi , na weza kuanza upya? Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuchimba mchanga wa bahari kama madini kunaleta wasiwasi wa kimazingira

    Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe nchi kuwa na amani inamaanisha upigaji bila wasiwasi!

    Ndugu wanajamvi,, kumekuwa n amsemo maarfu kuwa nchi sasa inaamani katika utawala wa Samia basi mie nikajua ni amani ya kutulia bila kugopa vitisho. Kumbe watu wa serikalini na wafanyabiashara wakubwa au wanasiasa wakisema hivyo basi wanamaanisha tofuati. Nimefuatilia watu wazito nilioongea...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi waongezeka Ujerumani kuhusu wimbi la nne la COVID-19

    Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya siku moja. Hayo ni maambukizo 172 zaidi ya yaliyorekodiwa mwezi Desemba 2020. Hata hivyo...
  20. Meshacky Allyson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasiwasi kwenye mapenzi ni Muhimu mno

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo. Binafsi hili naliona ni jambo...
Back
Top Bottom