wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania US debt is now $37trn – should we be worried? (Deni la Marekani sasa ni $37trn - Je tunapaswa kuwa na wasiwasi)?

    Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack; BBC business editor As Donald Trump cheered the passage of his self-styled, and officially named, Big...
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Jamani mtutoe wasiwasi maana tunaambiwa yule ngamia wa semaji ameshaliwa na wananchi

    Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi.. Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au? Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili wakuu maana yule tayari alikuwa alama yetu wekundu? Je kama ni kweli je kanuni hazijakiukwa kweli hapo?
  3. jamaikatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN Ina wasiwasi na maandamano ya kenya

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka nchini Iran Ayatollah Khamenei, hajaonekana hadharani licha ya kusitishwa kwa vita

    Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
  5. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na haya maamuzi ambayo Mungu aliyafanya, hapa alikosea

    Salaam Members! Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani. Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini aamue wachache wapate adhabu kwaajili ya wengine. Nina mifano miwili: Kitendo cha Mungu kumuumba...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi: Sakata la Gwajima lisipotatuliwa ifikapo alfajir, sidhani kama kuna barabara itapitika, tahadhari ichukuliwe mapema

    Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos. Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  11. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wangu kwa SSH.

    Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025. Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao. Ukiangalia mambo...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani? Nina wasiwasi

    Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi

    Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi Hata Kama Wewe ni Mwingiliaji Hodari Unachojua huenda kikayumbisha meza yako ya chakula... Ndege ni salama kimasafa—lakini nyuma ya pazia, ulimwengu wa anga unaficha ukweli wa kutisha. Hapa kuna mambo 10 ya kutisha ambayo...
  18. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Shida siyo maamuzi ya Kikao, wasiwasi ni kile FIFA na CAF wanawezaifanyia Ligi tu

    Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili lilotokea kwenye derby ya Simba na Yanga ni kosa kubwa na linaweza kutugharimu pakubwa. Kuingiza...
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  20. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
Back
Top Bottom