Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,005
1,583
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa

Paul Rusesabagina anayetajwa kuwa mkosoaji wa Rais Kagame, alihukumiwa Miaka 25 jela Septemba 2021 kwa kukutwa na hatia kwa tuhuma za ugaidi

Aidha, mnamo Mei 2022, Marekani ilisema Mwanasiasa huyo alifungwa kimakosa

..............................................

The US Secretary of State, Antony Blinken, has expressed serious concerns about the human rights situation in Rwanda after talks with President Paul Kagame in the capital, Kigali.

Mr Blinken said he had raised US concerns about the detention of Paul Rusesabagina - a permanent resident of the United States - who is credited with saving hundreds of lives during the Rwandan genocide of 1994.

Rusesabagina was sentenced to 25 years in prison after being convicted of terrorism.
Mr Blinken said he had urged President Kagame to address concerns about legal protections afforded to Rusesabagina - particularly, the lack of a fair trial.

Source: BBC
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom