Sababu zinazonipa wasiwasi kuhusu 'Yellow card App' (mfumo wa kununua sarafu za kidigitali)

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Dunia kila siku inabadilika kulingana na teknolojia inataka nini!

Wale walio jikita na sarafu kama bitcoin mtakuwa mnafahamu kuwa bitcoin thamani yake ni kubwa na si rahisi kuinunua kama mgeni au kipato kidogo.

Baada ya wamiliki kuwa wengi walianzisha mtindo wa kununua kwa njia P2P ambayo unganishwa na mawakala wenye app mfano kama remitano.

Lakini gharama ya kununua sarafu hizi kama ujajipanga ni ngumu.

Mwaka jana niliona kampuni mpya inayoitwa Yellow card App ambayo imeingia tanzania na unaweza kununua sarafu hata kwa shilingi 2305 ambayo ni ngumu kuanzia kwa kiasi hicho ukilinganisha na app zengine kama mercuryo, Binance, kuCoin, bybit, Abra na n.k

Ujio wa yellow app kwa watu wenye kipato kidogo na kutaka kuendana na dunia hii !.lakini kuna sababu zinazopelekea kunipa wasiwasi kwa kampuni hii.

Wasiwasi unaonipa kuhusu mfumo wa kulipa pesa kama benki na wameweka Tigo Pesa. Lakini ukiweka pesa zinaweza kuwa pendig hata mwezi na hakuna hata customer call kuwapigia na email kujibu ni mdogo.

Pili wasiwasi ni kama wanaangalia kama sarafu ikiwa juu ndio waruhusu pesa kuingia kwenye account ili ushindwe kununua kwa wakati.

Tatu wasiwasi ni pesa azifiki kwa wakati kuofia soko kama nilivosema namba mbili.

NOTE.
kampuni nazozieleza hapo hata ukute zipanda au zimeshuka ni mda huohuo na kama ni mambo ya benki itafika siku ambazo imepangiwa.
 
Back
Top Bottom