wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge aonesha wasiwasi dozi 15,000 za Uviko-19 ambazo hazijatumika zinaweza ku expire kama hazitatumika. Aweka mikakati ya kuhakikisha zinatumika

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake. Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya...
  2. SACO

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hajableed takribani miezi mitatu

    Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro...
  3. Molleli

    JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

    Swali... Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi mtoto si wangu. Nitawezaje kuhakikisha?

    Naweza kusema kweli huwa nina mapenzi ya kweli katika mahusiano, nasema hivi maana huwa nikimpenda mwanamke katika mahusiano basi huwa namaanisha ila shida huja pale ambapo nahisi nimepata mwanamke tofauti na matarajio yangu. Nasema hivi maana asilimia kubwa ya vile vigezo vya ndani kabisa...
Back
Top Bottom