wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Arumeru kuna jamaa wanavamia mabweni ya Wasichana (Shule ya Sekondari ya Nshupu) na kufanya uhalifu

    Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
  4. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aprili 25: Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake na wasichana. Hivi na nyie huwa mnapata WET DREAMS kama ilivyo kwa wanaume?

    Swali la mada hii linajieleza. Naamini kila mtu anauelewa na wet dreams (ndoto nyevu) ni nini. Uzi tayari.
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo. Hii imekaaje wakuu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana. Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina habari njema kwa wasichana

    Inakuwaje wanajamvi. Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza. Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa. Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa. Am...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa Mabweni ya Wasichana Sekondari ya Langiro umetelekezwa

    Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule...... Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wa kuoa wanapatikana mtaani sio kwenye ulokole, shauri yako!

    Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Malezi duni na Ugumu wa maisha chanzo kwa wanafunzi wa kike kujirahisisha kwa walimu

    Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo...
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Hii ya wasichana wadogo kujifungua kwa upasuaji imekaaje?

    Nime-notice hii trend wanawake wadogo wenye rika ya 20 na hadi early 30's uko kuzaa kwa upasuaji wakati mimi ninavyojua hii hufanywaga sana kwa wanawake late 30's au forties huko kwa sababu ya risk mbali mbali. Lakini siku hizi naona imekuwa trend wanawake wadogo kuzaaa kwa njia hii; all my...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo ya Upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari

    Fursa ya mafunzo ya upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari
Back
Top Bottom