wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mbegubora29

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

    Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema. Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini...
  2. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

    Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana Wameona kudanga ndio deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa...
  3. Annny

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa Ushauri na rafiki yangu kuhusu wasichana wake wawili

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote) Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
  4. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Wasichana huchagua wenza wao mapema

    Habari za Eid pili wandugu Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea. Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa bahati mbaya vijana wa kiume hukitumia ndivyo sivyo, pengine ni kwa kukosa misingi thabiti toka kwa...
  5. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na wasichana wanapenda sana kutoboa pua na kuvaa vipini siku hizi?

    Nini siri ya wanawake na mabinti wa siku hizi kupenda kujitoboa pua na kuvaa vipini?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  7. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukeketaji dhidi ya wanawake na mabinti

    Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji. Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania? Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
  8. Mngurimi

    JamiiForums Tanzania Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

    Katika maisha yangu tangu utotoni hadi wakati huu wa ujana wangu nimekuwa karibu sana na mambo ya imani za kishirikina. Haimaanishi kama mimi ni mchawi wala mganga wa kienyeji ila tu ukaribu na watu wanaonizunguka unafanya niweze kushiriki mambo haya wakati mwingine kwa kupenda au kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye? Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji. Ukiwa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

    Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke). Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod...
Back
Top Bottom