Hii ya wasichana wadogo kujifungua kwa upasuaji imekaaje?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Nime-notice hii trend wanawake wadogo wenye rika ya 20 na hadi early 30's uko kuzaa kwa upasuaji wakati mimi ninavyojua hii hufanywaga sana kwa wanawake late 30's au forties huko kwa sababu ya risk mbali mbali.

Lakini siku hizi naona imekuwa trend wanawake wadogo kuzaaa kwa njia hii; all my female friends wenye 20's na early 30's wamezaa hivyo na sitaki kuamini kama kulikuwa na emergency yoyote.

Je, wanawake wanachagua kuzaa hivi siku izi au imekuwaje?
 
Washaharibiwa makalio...
Wengine wana virusi hii mara nyingi ni matakwa ya kidaktari zaidi inategemea na unywaji dawa wa muhusika....

Kama mnavyojua takwimu za maambukizi ya virusi kwa sasa vijana wengi wajawazito wa 19 to 25..wana maambukizi...
 
Siku hizi Kuna wazee na vijana wa hovyo sana,,

Wanayowatendewa hawa dada zetu ni balaa na nusu.
Hilo suala la wadada kuzaa kwa operation ni la kupangwa na wahusika ili kukwepa aibu wakati wa kujifungua..
 
Back
Top Bottom