wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasichana wengi wanaona wana haki ya kupewa Salamu na sio kutoa?

    Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa? Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
  2. mpasta

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

    Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule. Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wasichana Takriban 35 waokolewa katika "kiwanda cha watoto"

    Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito. Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awasha Rasmi mtambo wa kusambaza maji pamoja na kushiriki Ujenzi wa Shule maalum ya Sekondari ya Wasichana

    SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA . Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Awabaka Wasichana Watatu waliokuwa wakiokota kuni vichakani

    Watani mpo! Katika hali ya Kushangaza Mtu Mmoja kutoka Mkoani Kagera (kwa Watani zake Wakubwa GENTAMYCINE) kutokana na 'Upopoma' wake uliotukuka aliamua 'Kuwabaka' Wasichana Watatu kwa zamu Porini walikokuwa Wakiokota Kuni. Watani zangu Wahaya hivi 'Uhuni' mmeutoa wapi? Mbona mnatutia sana...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  8. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

    Habari za Majukumu wanajukwaa..... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa. Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga...
  9. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

    Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Taliban yaenda kinyume na ahadi ya kuruhusu wasichana kusoma

    Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma. Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Februari 11: Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi

    Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu: Wanawake, Wasichana waendelea kuwa walengwa wakubwa

    Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19 yatishia jitihada za kukomesha vitendo vya ukeketaji

    Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la #COVID19 likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) linasema hata kabla ya COVID-19, Wasichana Milioni 68...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya UKIMWI kwa wasichana ni mara tatu zaidi kwa wavulana

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020. Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye...
  16. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

    R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo vibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani. Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana

    Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania UN yakosoa ahadi hewa za Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha kuporomoka Uchumi Mamilioni ya Wasichana bado wanasubiri kurejea Shule wakati vipindi kwa Wavulana...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
Back
Top Bottom