wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Jinsi wasichana toka umri mdogo wanafundishwa kua wanaume ni waongo pia wavulana toka umri mdogo wapaswa kufundishwa wanawake ni wanafiki na wabifsi

    Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi. Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana hukua bila taadhari yoyote wakiamini wanawake ni wema, wanakuja kugundua a awake ni wanafiki...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM. Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Inahusu wanawake wote siyo wasichana, tunaomba majibu

    Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana. Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania 16 Days of Activism 2024: Ulinzi wa Wasichana na Wanawake dhidi ya Ukatili ni Jukumu letu sote, tuwalinde!

    Leo tunaanza rasmi Siku 16 za Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, tukiungana na dunia kuendeleza harakati za kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Kaulimbiu ya mwaka huu, ‘Towards Beijing +30: UNiTE to End Violence Against Women and Girls,’ inatukumbusha dhamira yetu ya kuendeleza...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabianchi huongeza uwezekano wa Wanawake na Wasichana kufanyiwa Ukatili wa Kingono

    Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii. Wanawake...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kuwarubuni Wasichana kwa Usafiri na Chipsi ni Ukatili wa Kijinsia na Uhalifu kama uhalifu mwingine

    Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasichana njooni hapa: Ukiwa na tabia hizi kuolewa itakuwa ngumu sana

    Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi. Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi yalikuwa yanaangalia upendo wa dhati; yaani jinsi mtu anavyokupenda na malengo yake kwako. Siku hizi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

    Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria. Hayo yamesemwa na Afisa...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha nyuma; Kuvuja kwa video za faragha za Wasichana

    Kama imetokea kutazama moja kati ya video nyingi za utupu ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni siku za hivi karibuni, hususan zile zinazohusisha chupa za soda, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa umetazama binti ambaye ni muhanga wa vitendo vya ulaghai unaofanywa na baadhi ya wahalifu wa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Zena Said afungua Kigoda cha Wasichana Zanzibar

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024. Jukwaa hili la Wasichana lilizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi ya kuzitatua ili kuweza kutumia fursa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, kuwajibika ipasavyo katika kutunza na kulea wanafunzi waliowekwa chini ya uangalizi wao. Akizungumza mara...
  14. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Wasichana waadhibiwa.

    Korea Kaskazini inashutumiwa kuwaadhibu hadharani Wasichana wadogo na Vijana wanaotizama tamthilia au televisheni zilizopigwa marufuku Nchini humo ikiwemo televisheni za Korea Kusini, China na Mataifa ya Magharibi. Video mpya imeonesha kundi la Wasichana wadogo akiwemo Mwanafunzi mwenye umri wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana Warefu ni wazuri sana

    Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo. Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao. Hitimisho. Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu. 60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida. 72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

    Nenda vyuoni IFM, CBE, TIA ukikuta binti ana futi 6 niite nikupe milioni. UDSM ukikuta futi sita ujue ni foreign student toka Rwanda, Uganda au Sudan. Uko uswazi, Buguruni, Temeke, Tandale ndio funga kazi, futi 5 kamili mwisho. Mbegu zinaharibika, tatizo nini? Asili ya mtanzania sio ufupi...
  17. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

    Wakuu people's Yale majizi 👉 kidumu Aisee nilikwenda duka moja kupata huduma nikamkuta mdada mmoja tukazungumza hapa na pale nikaomba namba basi tukaanza mawasiliano na nikamuweka wazi kwamba nimempenda na akanielewa. Akaanza kunishirikisha mambo yake kwamba alikuwa na mume wametengana sababu...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Awapa Faraja Wanafunzi wa Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya, Manyoni

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe ametembelea Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya na kuzungumza na Wanafunzi wa kike shuleni hapo na kuwapa zawadi ya taulo za kike na vifaa vya michezo Mbunge Aysharose Mattembe amewatia moyo Wanafunzi wa kike wanaosoma katika...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
Back
Top Bottom