Malezi duni na Ugumu wa maisha chanzo kwa wanafunzi wa kike kujirahisisha kwa walimu

Oldmantz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
432
999
Screenshot 2023-10-31 091844.png

Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George

Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo wasichana wanaowaweka walimu wao kwenye wakati mgumu.

Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa malezi duni ya wanafunzi hao, ugumu wa maisha wanaopitia baadhi yao, yanawasukuma wasichana kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi sio tu na walimu wao, lakini hata watu wengineo wakiwamo makondakta.

Kwa mujibu wa uchunguzi, kuna matukio kadhaa ya wanafunzi wa kike kuwataka kimapenzi walimu na watu wengineo, wakitumia njia ya kujirahisisha ili kukidhi mahitaji yao yakiwamo hata ya kimaisha.

Mwananchi
 
Ukiwakaushia hawachelewi kukuzushia kashfa kuwa huwa unawatongoza na kuwatomasa matiti na matako yao. Ila ukiwa unawadonoa hakikisha unawadonoa wote ili kuwaziba midomo kitu ambacho hakiwezekani kuburuza wanafunzi wote. Kwa kweli kuna changamoto kubwa hasa ukiwa kijana kukabiliana na mihemko ya wanafunzi wa kike
 
Back
Top Bottom