Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama
Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi
Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga
Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi...