wasanii

  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

    Hi guys.. Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana. Mimi wangu ni hawa.. Runtown G nako (akishilikishwa) Jux Celine Dion Enrique Iglesias Sia Katy Perry Paul okoye (Rude boy) Kala Jeremiah David Gueter Dj Snake Westlife P Square Lucky Dube...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    #Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them 1. Sugu ( Joseph Mbilinyi) - Mkinga 2. Professor Jay (Joseph Haule ) - Mngoni 3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) - Mkurya 4. Inspector Haroun - Msukuma/ Mzaramo (Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni "...
  3. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Davido na Wizkid: Bifu zina mchango gani kwenye kukuza au kuua wasanii?

    Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja. Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
  4. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kukuza Utalii kwa kutumia wasanii wa ndani.

    Katika kuelekea mwishoni wa mwaka jana kulikua na harakati za kutangaza utalii wa nchi yetu kutumia "celebrities" wetu wa Kitanzania. Katika kampeni wasanii wa filamu pamoja na wa Bongo fleva walihusika kwa kushirikiana na kiongozi wa Wizara husika. Mimi ni mdau wa utalii na ninajua utalii wa...
  5. BASIASI

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza wasanii kujisajili BASATA

    Imesema endapo msanii yeyote atabainika anajihusisha na shughuli hizo bila kuwa na usajili, atachukuliwa hatua kali za kisheria. Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, alisema hayo jana wakati wa ufunguzi wa kongamano la Fursa kwa Wasanii wa Wilaya ya Siha lililofanyika katika ukumbi wa...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
  8. cutelove

    JamiiForums Tanzania Yanga mpende msipende lazima turudi kwenye bakuli

    Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi...
  9. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania The undisputed and magnificent artists: Wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi Bongo

    Salute. Wagiriki wana msemo wao unaitwa πολυμαθής "polymaths" wakimaanisha aliye na elimu pana au ni mtu ambae anauwezo mkubwa katika mambo mbalimbali, anaweza kusovu mafumbo na kutatua au kutengeneza mambo magumu. Unapotaja polymaths basi unakua unamtaja Leonardo Davinci baba wa vipaji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Babu Tale akiri kuna wasanii wa WCB nyota zao zimeshindwa kung’ara, aeleza hatua walizochukua

    Meneja wa WCB, Babu Tale amefunguka kuzungumzia ishu ya baadhi ya wasanii wa label hiyo nyota zao kushindwa kung’aa. Lebo hiyo ina wasanii watano, ambao ni Diamond, Rayvanny, Mbosso, Lavalava pamoja na Queen Darleen. Katika mahojiano maalum na gazeti la Mwananchi, Babu Tale alikiri kwamba...
  11. Patriot

    JamiiForums Tanzania Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

    Nimeweka list ya viwanda ninavyoweza kumbuka, ambavyo ilikuwa ni mkombozi wa ajira kwa TZ. Vingi viliajili zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ambayo sikuyaweka. Lakini hii ilikuwa enzi ya Mwalimu. Marais waliofuata walifanya nini? ni halali leo hii vijana kukosa ajira...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CNN: Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

    Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri Wasanii wengine ni 1. Burna Boy: Nigeria 2. Angelique Kidjo: Benin 3. Diamond Platnumz: Tanzania 4. Yemi Alade: Nigeria 5. Tiwa Savage: Nigeria 6. Wizkid: Nigeria 7. Mr.Eazi: Nigeria 8. Sho...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

    Vigezo vyangu A. Mashairi B. Ujumbe C. Heshima ndani ya Mashairi D. kucheza na jukwaa E. Muda wa Mziki wake kudumu Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa wasikilizaji, kukubalika, muda wake kudumu, Rate ya vyombo vya habari kumkuza mtu nje ya uhalisia. 1. Dr...
  14. H

    JamiiForums Tanzania TID awataja wasanii wabovu

    Mwanamziki TID a.k.a Top In Dar amewataja wasanii ambao kwa maoni yake, amewaona si wasanii wazuri. 1. Abdu Kiba 2. Ommy Dimpoz 3. Mwasiti 4. Ben Pol
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kutohudhuria bungeni kumemkosesha Mbowe safari muhimu ya kuongozana na Waziri Mkuu na Spika kuongea na wasanii Dar

    Msafara ulioondoka bungeni jijini Dodoma ambapo Kiongozi wa Upinzani bungeni hakuonekana uliwajumuisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Spika wa bunge mh Ndugai, Waziri Mwakyembe na mbunge Musukuma. Kadhalika safari hiyo ilimuhusisha pia Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru ambaye aliomba kujumuika nao kama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za nyimbo tuwapongeze wasanii hawa kupelekea utamu wa siasa 2020

    Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi... Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...
  17. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Wasanii jitambueni msitumike kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24

    Wasalaam, Nimesikia tangazo kutoka radioni linalomuhusu msanii wa bongo fleva Joe Makini Mwamba wa Kaskazini akihamasisha wananchi kupigia kura CCM Nov 24 kabla hata kampeni hazijaanza nikajiuliza amepewa shilingi ngapi na itamsaidie nini? Katika uchaguzi huu ambao mshindi ameshajulikana watu...
  18. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo wana safari ndefu sana

    Nikiangalia hizi show wanazotoa hapa Wasafi Tv kwenye Wasafi Festival nachoka kabisa. Wanachoweza wao ni kupiga makelele, kuwasumbua watu wanyanyue mikono juu na kuuza sura na makalio.
  19. mayowela

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Matamasha ni faida kwa Wasanii au ndio Mwisho wa Mipaka yao ya kazi..?

    kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani, kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha mengine kama Udhamini wa matamasha yanayoandaliwa na Makampuni makubwa ya simu, vinywaji baadhi yao hupewa...
  20. CABANA

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wa Bongo hawajui kujieleza?

    Habari wanajamii. Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela tu kitaa hajui kama anaongea na East Africa nzima. Hata Diamond huwa ana huo ugonjwa, yaani...
Back
Top Bottom