wasanii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa wasanii wa filamu: Tumieni mbuga zetu/ Wanyama wetu biashara zenu zitapata pesa sana

    Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
  2. srinavas

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wasanii nani ni mkali wa kuandika ngoma kali?

    Ibraa kutoka konde music world wide Au! Mboso kutoka wasafi baby 👇👇
  4. cantona55

    JamiiForums Tanzania Wasanii hii inawahusu sana

    WASANII WA MUSIC HII INAWAHUSU; kipaji ni sehemu ya maisha yetu,tunaamin kila binadamu anakipaji alichopewa na mwenyenz mungu,vipaji vipo vingi ila kuna wanaopenda KUIMBA, wasanii wanaopenda music wapo wengi sana ila ni wachache wanaopata nafasi ya kurecod na kuskika. Sasa mkombozi wenu kaja...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Bongo Movie Wakiongozwa na Steve "rais wao" Walimchongea Idris

    Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa kuhakikisha anakamatwa walifanya waao wakishirikiana na RC ili tu kumkomoa Pia wanatumia staili hiyo ili...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini. Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
  7. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania BASATA: Shughuli za wasanii hazijaruhusiwa kwa sababu ya janga la ugonjwa wa Corona

    Katibu Mtendaji anawakumbusha Wasanii na wadau wote wa Sanaa kuwa shughuli za Sanaa bado hazijaruhusiwa rasmi kuendelea kufanyika kutokana na janga la ugonjwa wa CORONA. Amesema hayo huku wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam wakijiandaa na sherehe za kuiaga Corona nchini Tanzania zitakazoambatana...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

  10. Adamjuma94

    JamiiForums Tanzania Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Stimulus Package kwa wasanii: napendekeza serikali ikae nao, iwape hela, waandae matangazo kuhusu corona,yaruke hewani,tusiwajali kwenye kampeni tu!

    Huo ndio ushauri wangu, wasanii, kwa makundi na aina ya sanaa zao, wapewe fedha waandae matangazo, kama ni TV, basi wanaweza kuwa hata kumi kwa tangazo, matangazo yakawa mengi,vituo vya redio na TV na magazeti, serikali ikadondosha kwa hata milioni 500-700 #stimulus package
  12. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Wasanii mnaofanya muziki mzuri endeleeni, msikatishwe tamaa na mashabiki njaa

    Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo. Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri. Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na pombe tu, msiwasikilize watu wachache walionyimwa hekima. Tuko pamoja, tutawasapoti tu. Muziki hauna...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania U Bunge Viti Maalum Wasanii 2020 reende na Juma Lokole

    Katika kuongeza nguvu za awamu ya tano. Viti Maalum Wasanii kwa pamoja wanampitisha Juma Lokole awe mrusha bendera. Maendeleo hayana chama.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wasanii wanaotegemea show kipindi hiki wanaishije?

    Aisee nawaonea huruma Sana wasanii wanaotegemea kuendesha maisha yao kupitia show Corona kachafua Hali ya hewa.
  15. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wanaowalaumu wasanii wa bongo wa mziki kwa playback hawajui mziki!

    Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown... Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz... Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal song vocal, afu ni playback... Sa sijui kwanini wasanii wetu hapa wakifanya hivo wanaonekana bogas...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maembe aiomba BASATA na TRA kutowatoza kodi wasanii kwa muda huu wa zuio la mikusanyiko

    Msanii wa muziki wa asili Vitali Maembe aliyewahi kutamba kwa kibao cha ‘Suma ya teja’ ameiomba serikali kuwasaidia wasanii kwa kipindi hiki cha marufuku ya siku 30 kama alivyotangaza waziri mkuu Maembe ameiomba Wizara, BASATA NA TRA kuwapa unafuu wasanii kuwa kutowalipisha kodi kwa mwezi huu...
  17. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

    Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer. Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua stahiki za kuchukua ikiwemo kunawa mikono na kuepusha kushikana mikono na mikusanyiko isiyo ya lazima...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unadhani sababu nyingine za wasanii wasomi kutofanikiwa ni zipi?

    Kutokana na ukosefu wa ajira, vijana wengi wanaohitimi shahada mbali mbali nchini hujikuta wakiingia kwenye Sanaa ya muziki Vijana wenye elimu kubwa ambao wanafanya vizuri kwenye muzika ni wachache mbali na elimu walizonazo. Robert Kasongo, ni msanii mwenye degree ya ualimu anatamba Mkoani...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu anaoupitia Harmonize ni kielelezo tosha kwanini sanaa yetu haikui. WCB inaua wasanii nje ya lable yao

    Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album yake...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wasanii wa bongo kuwa wabunifu kwenye matamasha

    Moja Kati ya Jambo nimeona Kuna improvement kwenye mziki wetu ni suala la ubunifu wa majukwaa na hii imechangiwa na competition ya matamasha yetu especially Wasafi festival na fiesta kwa upande wa efm kidogo wapo nyuma kwenye kutengeneza jukwaa lenye kiwango Cha kimataifa. Ukiangalia Wasafi...
Back
Top Bottom