wasanii

  1. Madimba jr

    JamiiForums Tanzania Perfomance Mbovu ya wasanii wakongwe kwenye Serengeti Festival 2021 Dodoma

    Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute...
  2. Kiminyio 01

    JamiiForums Tanzania Majina ya hawa wasanii katika nyimbo hii..

    Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
  3. Slowly

    JamiiForums Tanzania Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

    Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube ..... Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi Wasanii hufaidika nyimbo zao zinapofanyiwa parody?

    Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo. Moja wapo hii hapa.
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wasanii na Wanamuziki wengi kugombea Uraisi nchi za Afrika je wasomi na wataalamu wamekata tamaa au nini?

    Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi

    Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class). Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi, Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana. Hivi wasanii...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

    Wakuu, Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda. Itachukua muda sana kuziba mapengo yao. Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  9. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu kuweni na mameneja

    Hello, Mnajisahau sana, mkitumiwa ujumbe hamjibu. Kama hamtaki kusumbuliwa si muweke contacts za meneja wenu, mtu akitaka kuwasiliana na nyie anapitia meneja wenu?
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

    Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake) Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

    Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa. Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za -: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI). Huku tuzo ya -...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize ashutumiwa kuiba wimbo wa "Huo ni Ushamba"

    Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba". Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
  13. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo hali tete kwa sasa na YouTube Views

    Habari! Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote. Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani amefanya kazi nzuri huku wakiamini YouTube Views ndio zinapoma ubora wa kazi zao. Mambo yamekuwa si...
  14. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wanaijeria wanatukimbiza huko youtube

    Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana Wakati wenzetu ukisikia...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Afande Sele: Wasanii wengi walikimbilia siasa wakitegemea umaarufu wao utawapitisha

    Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au umaarufu wa mtu ili kumpitisha kwenye uongozi. Afande Sele ametoa mtazamo huo baada ya wasanii wengi...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  17. share

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii, kiama ni tarehe 28 Oktoba 2020. Daini chenu mapema

    Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020. Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai chenu mapema mjue ndiyo imetoka hiyo. Safari hii hatutawaonea huruma hata mtakapokuwa wagonjwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii mkishamaliza kuiweka CCM madarakani mkumbuke mtarudi kitaa kuganga njaa kama kawaida yenu hadi 2025

    Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea kula bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wamepoteana Zakhiem Mbagala, subirini mziki wa CCM leo mtajutia mlivyobugi

    Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM. Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni 1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu. 2. Kudai katika...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa wangu, duniani kote Vyama vya Siasa huwa na wasanii maalum kutumbuiza wakati wa kampeni

    Nimejaribu kuangalia ile mobilization iliyofanywa na wasanii kule nchini Nigeria kina Davido na wenzake wakiandamana kuomba kile kikosi maalum cha Polisi kinachotesa Raia kivunjwe na hatimaye mamlaka zimekivunja. Huku Bongo Wasanii wa kizazi kipya kina Diamond na kundi lake wanakata mauno kwenye...
Back
Top Bottom