wasanii

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaotumia lugha chafu kwenye kazi zao kikaangoni

    Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BASATA yawaonya wasanii wa Tanzania kutokana na vijembe wanavyotupiana

  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

    Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki. Nyie wasanii ndo maana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na wote mliojaliwa mali

    Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ninavyowajua Mabinti wa Kitanzania na hasa hawa Wasanii wetu wa Kibongo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu mmoja wao...

    Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang Chanzo...
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii waliotunga nyimbo za kumuenzi Magufuli ni kwa mapenzi au shinikizo?

    Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia...
  9. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Net worth za Wasanii wa Bongo

    Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

    Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president" Hivi kama sio bange ni nini?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii waipa shavu ‘konyagi’ kuthamini jitihada za wanawake katika kusherehekea ‘siku ya wanawake duniani’ 2021

    Na Mwandishi wetu, Katika kuadhimisha kusherehekea siku ya Wanawake Duniani 2021, wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wamekipongeza kinywaji cha Konyagi kwa kuwapa fursa ya kuthamini ujasiri, ushupavu na uthubutu wa wanawake ambao wamejitoa katika mafanikio ya kazi zao za...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongofleva sasa kupewa misamiati kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili

    Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili. Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Yaani wasanii wengine hawamo Wikipedia na wakati wanafahamika au wanasubiri serikali iwaenzi

    Kuna wasanii hawamo Wikipedia sasa nashangaa sijui wamepungukiwa nini, mtu kama soggy doggy, D.knob siwaoni au ninyi ndugu mnawaona? Ebu waambieni wafanye hivyo, Hivi madogo wa baada ya miaka 50 mbele watawatambuaje? Ndio nasikia watu wanalalamika eti serikali haitunzi historia, kama ni hivyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Poka studio wanijeria wanaotengeneza animation za wasanii wanajua sana

    Kuna zile animation za music wanatengeza wale wanaija wanajiita poka kwa kweli ni nzuri sana wanatengeneza kwa kiwango cha juu Waliwahi tengeneza video animation jeje ya diamond mpka mwenyewe alipiga salute Sijui mmiliki wake hiyo studio ni nani? Video animation kama Orakila- in my maserati...
  20. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

    Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
Back
Top Bottom