Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa kwa kutumia wazee wa zamani , bado wanaendelea kutumia staili na propaganda za zamani ambazo ni...
"Mgombea anayekubalika na zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura waliojiandikisha si tu chaguo la kisiasa, bali ni dhihirisho la mwafaka wa kijamii uliojengwa juu ya matumaini ya pamoja. Uhalali wake unazidi mantiki ya ushindi wa uchaguzi; unakuwa kielelezo cha maridhiano ya kitaifa, ambako uongozi...
Ni takribani miaka 64 tangu Tanganyika ipate uhuru na miaka 61 tangu Muungano uliopelekea kuzaliwa taifa la Tanzania.
Kwa miaka yote hiyo vitendo vya rushwa vinasikika na kuonekana katika kila ngazi ya uchaguzi. WAPIGA kura wanapokea rushwa za kifala kabisa eti chakula au vijihela.
Hata...
BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili...
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi.
Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya Isevya, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wakati alipotembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa...
Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo unapambwa vema ile mbaya na viti vizuri vinawekwa. Inasemekana viti hivyo vingine vilitoka Makao Makuu...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa.
Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari.
Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
Watendaji wa vituo wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora katika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakitoa tamko la kujitoa uanachama wa chama cha siasa au kutokuwa mwanachama wa chama cha siasa na kiapo cha kutunza siri, mbele ya Afisa Mwandikishaji (hayupo pichani)...
Nilisikia zaidi ya mara moja baadhi ya viongozi wa serikali kwa nyakati tofauti tofauti ikiwemo makonda wakiwakemea viongozi wa dini kuto kujihusisha na siasa au kuongelea masuala hayo kwenye makanisa au misikiti.
itambulike kwamba Viongozi wa dini kwenye makanisa na misikiti ni watanzania na...
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
Hellow!
Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.
Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.
Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa...
Habari wakuu
Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana.
Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako.
Ni kweli tunatakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.