Halafu unaambiwa watu milioni 32 walipiga kura kati ya milioni 37 waliokuwa wamejiandikisha. Aidha, Tume ilihitaji siku mbili tu kuzihesabu kura zote hizo, pamoja na kuwa hakukuwa na mtandao kufanikisha mawasiliano. Zaidi ya hayo, pamoja na ghasia zote za maandamano, Tume walifaulu kuendelea na kazi yao mpaka wakafanikisha kwa muda mfupi huo. Kwenye akili ya kuambiwa, changanya na zako.Zile media uchwara za kina Millard au yoyote mwenye hizo picha naomba atupie hapa na sisi tuone hiyo misururu ya wapiga kura waliotupatia ushindi wa 98%.
Haki huinua taifa
So far so goodCrazy World!
View attachment 3497916
QmmkTuliopiga Kura hatutafuti kiki
Dalili za kukosa hojaQmmk
MajiniZile media uchwara za kina Millard au yoyote mwenye hizo picha naomba atupie hapa na sisi tuone hiyo misururu ya wapiga kura waliotupatia ushindi wa 98%.
Haki huinua taifa