Sio kwa Ubaya Rais atoke azunguke mikoani kuwashukuru wapiga kura wake. Waliomchagua kwa 98% na Kujua hali zao

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
13,174
Reaction score
15,164
Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za wapiga kura wako kusikiliza matatizo yao .

Unatupa wasi wasi kama umechaguliwa na 98 %sasa mbona huendi mikaoni kusalimiana na wapiga kura wako wananchi kufurahia kwa pamoja zamani CCM Rais akienda sehemu mkoa unachangamka wa kufanya biashara wanafanya wewe mekua kimya kunani? Unatupa mashaka
 
Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za wapiga kura wako kusikiliza matatizo yao . Unatupa wasi wasi kama umechaguliwa na 98 sasa mbona huendi mikaoni kusalimiana na wapiga kura wako wananchi kufurahia kwa pamoja zamani CCM Rais akienda sehemu mkoa unachangamka wa kufanya biashara wanafanya wewe mekua kimya kunani?
NGOJA CONTENT CREATORS WAJE, UTAJUTA KUZALIWA
 
Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za wapiga kura wako kusikiliza matatizo yao .

Unatupa wasi wasi kama umechaguliwa na 98 sasa mbona huendi mikaoni kusalimiana na wapiga kura wako wananchi kufurahia kwa pamoja zamani CCM Rais akienda sehemu mkoa unachangamka wa kufanya biashara wanafanya wewe mekua kimya kunani?
Kwenye hili ushauri wako haushughulikii ng'oo...
 
Hana ujasiri huo anajua kabisa kuwa hakuchaguliwa na Urais wake ni haramu na uliogubikwa na mauaji ya Watanganyika zaidi ya 10,000
downloadfile-5.jpg
 
Utackia akisema sio mambo yangu. Lakini alie shiba atamkumbuka mwenye njaa?
Kazi ni kipimo cha utu
Sio vibaya ajitokeze aende kusalimiana wananchi mikoani maana kama wananchi hata wamikoani walimpigia kura sio wa Dar tu na Dodoma
 
Ukishakua rais baada ya Uchaguzi raha ya urais uzunguke mikoani uonane na ali ya wapiga kura wako waliokuchagua kwa kishindo kwa 98% kuona ali zao kuzungumza nao kutoa shukrani. Muheshimiwa Rais ni mda wa kuzunguka na wewe mikoani kuona ali za wapiga kura wako kusikiliza matatizo yao .

Unatupa wasi wasi kama umechaguliwa na 98 sasa mbona huendi mikaoni kusalimiana na wapiga kura wako wananchi kufurahia kwa pamoja zamani CCM Rais akienda sehemu mkoa unachangamka wa kufanya biashara wanafanya wewe mekua kimya kunani?
Rais gani?
 
Back
Top Bottom