Wakuu
===
Kwa siku za hivi karibuni, baadhi ya taasisi zisizo za kisiasa zimeonekana viongozi wake kuonyesha mapenzi yao kwa vyama vya siasa kwa kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kisiasa; baadhi yao wanachangia kifedha, wengine wanagombea, na wengine kushiriki kwa namna nyingine...
Hiki ni kile nilichokishuhudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kilichofanyika kwenye so called kuhuisha/kuandikisha wapiga kura wapya.
Ni hivi,
Mwitikio wa watanzania wengi kwenye kujiandikisha na kupiga kura kwenye chaguzi hizi za kipuuzi ni mdogo sana na watu wengi...
Lilikuwa Bunge (2020-2025) la aina yake katika historia ya Tanzania tangu tuanze mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995. Katika kuwa na wabunge waliochaguliwa, mwaka 1995 tulianza na wabunge wa upinzani 23, 2000 wakawa 26, 2005 wakawa 41, 2010 wakawa 84, 2015 wakawa 112 wa upinzani, mwaka 2020...
Ni kweli , kuna mchezo unaochezwa na vyombo vya habari na kitengo cha propaganda cha CCM ionekane kuwa sehemu kubwa ya wananchi wapiga kura ni CCM , nawaambia wapiga kura wa uhakika wa CCM ni Wajumbe wao tu, ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi ambao ni wapiga kura wa ujumla wa Taifa. CCM...
Wakuu!
Nimekuwa nikisikia kuhusu dhana hii inayotokana na changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza hasa katika Uchaguzi, ambapo baadhi ya Wananchi wamekuwa wakikumbwa na kero ya kutoona majina yao katika orodha ya Wapiga Kura na kuwakwamisha Kupiga Kura.
Hali hii iliwafanya baadhi kususia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mwl. John Pambalu kimeipinga taarifa ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inayoonyesha ongezeko la idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, Madiwani unaotarajiwa...
Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani.
Wanafunzi wanabet...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6.
Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi ya 37.6, wakisema idadi hiyo inapingana na takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotoa idadi ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi.
Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa?
Wanasiasa wanapohutubia kwenye Makanisa au Misikitini, wengine husema wanajenga maadili, amani na mshikamano. Lakini Je...
Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi.
Video na sauti za kughushi (Deepfake) zinazotengenezwa kwa Akili unde zinaweza kutumika kuwapotosha wapiga kura na...
Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa...
Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu:
1.Idadi ya watu (population)
2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura
3.Idadi ya waliopiga kura...
Katika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali.
Wasomi na hata ambao sio wasomi.
Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii.
Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu...
Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
Wana JF
Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote
Kuna maisha baada ya uchaguzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.