kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,141
- 2,096
Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.
Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi?
Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa.
Lakini NECTA inawezaje kuathiriwa na siasa? Je, kuna ushahidi wa ukweli juu ya hili? na kama hili ni kweli, je hatuipotoshi elimu? wanafunzi hawapunguzi juhudi kwa matumaini ya kupendelewa?
Au hii ni nadharia tu inayozidi kuaminika bila msingi?
Tuwe wakweli, ushawahi kuona tofauti ya matokeo katika mwaka wa uchaguzi? ni kasumba tu au kuna ukweli ndani yake?