Kwanini wapiga kura Mil. 31 wa CCM wasiwasapoti wasanii waliowaburudisha kipindi cha kampeni?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!.

Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti?

Hakika uongo una lifespan ndogo sana,
Huyu mjinga anaeitwa majizo anaesema anaombea msamaha wasanii, yeye ni mnufaika wa moja kwa moja wa mfumo,

Alipata ajali kule zanzibar katika harakati za kuipigia kampeni ccm, kama haitoshi, yeye anadeal na mambo ya mziki kwa promotion na hata vifaa, kifupi nae ni mhuni wa kupuuza.

Tuendelee kuwa na msimamo. Rest in peace all heros killed by samia and her goons
 
Wafanye Kazi waache kulialia ,wapiga kura milioni 31 ambapo ndani yake kuna wanasisiemu milioni 13 wanatosha kabisa kusapoti kazi zao.
 
Back
Top Bottom