wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitoabu yupo wapi?

    Nimemkumbuka mwamba mmoja na mwana JF mwenzetu, Kitoabu aliyetuburusisha kwa stori zake za Mikasa aliyokutananayo katika uchimbaji madini nchini Mozambique. Yeyote Mwenye taarifa zake tafadhali atujuze kama au kama Ni yeye mwenyewe atujuze Kama Yupo na sisi. Ukimya wake wa muda mrefu Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Aggrey Mwanri?

    Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni. Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Weka picha: Uko wapi sasa hivi na unafanya nini?

    Uko wapi na unafanya nini muda huu? Weka picha za uthibitisho N.B: Usiweke sura lako hapa kwa usalama zaidi
  5. JamiiForums Tanzania Flaviana Matata yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?

  6. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata orodha ya taasisi zote, mamlaka zote, Asasi za Kiraia, Non profit Organizations na Vyama mbalimbali?

    Habari za maisha wakuu, Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia. Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
  7. JamiiForums Tanzania chanjo ya covid 19 imefikia wapi huko kwenu

    mliochanja mnajisikiaje maana mlikuwa mnapewa na cheti kabisa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  10. JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

    WanaJf, Salaam! Amenukuliwa akisema hivi “Kilo moja ya parachichi inakwenda kuuzwa Dola 8, karibu 20,000 hapa mnauza kilo moja Tsh 800. Maandiko Matakatifu yanasema watu wa MUNGU wanateseka kwa kukosa maarifa" - Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa @chadematzofficial taifa. Mbowe Freeman ninafahamu...
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Prof. Mruma kuwa Accacia haipo Tanzania, ni wakati atujibu kama ripoti hii ilifanywa kwa kufuata maelekezo

    Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki". NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania) SOMA PIA: Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yu wapi Kisandu Deogratius?

    Habari! Jamaa yuko wapi ? Kimya sana
  15. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Kanali Comredi Kinana?

    Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu? Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
  16. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata top za milango na fremu za mninga kwa bei nafuu?

    Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

    Mabibi na mabwana, nazungumzia mzigo huu hapa! Pia naomba nijue kama huyu mwenye mzigo anaona au kujua anakoelekea. Ahsanteni.
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hili gwanda mmekopi wapi?

    ACT Wazalendo nakiona kikichuana vikali kabisa na CHADEMA not CCM kwa safari yao kwenye chaguzi zijazo, hasa ukiangalia upande waliolalia na kuegemea. Pamoja na kuiona ikileta challenge kuna hii sinema ya magwanda naiona inaanza kushika kasi naweza kuita 'black owls' hilo vazi nilikiona wakivaa...
  19. JamiiForums Tanzania Haya wazee wa masong challenge hizi ni lyrics za wimbo gani na msanii gani na anatoka wapi?

    Say nobody fit to stop my shine I no fit die ’cause it’s not my time Man, I’m on my grind And na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh-oh-oh See, I don’t care about no enemies They envy me, they tryna get to me But na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh, eh...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…