Iko wapi amani ya maisha yangu?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Hope ni wazima Wana JF,

Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa.

Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja nawapenda sana na wao wananipenda sana mke wangu ni innocent girls

Baada ya kupata ushauri wa watu mbalimbali kuhusu hali yangu, wengi walinishauri nijichanganye kwenye groups za jogging au mijadala na niwe karibu na Mungu wangu, lakini haijanisaidia kitu. Kwenye moyo wangu kuna sonona kubwa sana.

It's mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
 
Hope ni wazima Wana JF,

Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa...
Mi natafuta kazi nipunguze sonona, wewe una kazi unasonona!
 
Mafanikio ni kama maji yanayotiririka ,hayaji kwa utulivu ,yanakuja kwa kasi na yanamkusanyiko wa takataka nyingi,ndomana matajiri wanaongoza kwa kukosa amani na masikini wanaongoza kuwa na amani.
 
Ikubali hiyo hali halafu fanya mabadiliko ya makusudi ukianzia na mahusiano uliyonayo.
 
Hope ni wazima Wana JF,

Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa...
Ndiyo inakuwaje yaani
 
Tafuta watu uliwazidi kila kitu ndo wawe marafik zako kwa Sasa achana na marafik wenye kipato, elimu, majivuno, unaifanya nao kazi hii mbinu nilipewa na Og moja toka tailend inasaidia sana kuset ubongo na kuwa normal kabisa.

Fanya hivi tafuta new friends ambao umewazidi kila kitu...kuanzia elimu,pesa,mwenwkano,malengo hawa mara nyingi ni watu ambao wakikuzuunguka watafanya kila kitu ili uwe na fraha sana kwanza wacheshi,watajishusha kwako, watakusikiliza unataka nini, wapo really na maisha yao.
 
Sasa unataka nini?

Kazi unayo, faranga unazo, familia unayo wataka nini tena dunia hii ndgu?
 
Tafuta watu uliwazidi kila kitu ndo wawe marafik zako kwa Sasa achana na marafik wenye kipato,elimu,majivuno,unaifanya nao kazi hii mbinu nilipewa na Og moja toka tailend ...
In short atafute “ chawa “ 😂
 
Pesa au familia sio tiba ya Kila kitu Kuna muda amani hailetwi na vitu au watu...ni wachache sana wanaopitia Hali kama yake watakao muelewa.
Inaletwa na nini mkuu? Labda kama kuna jambo anajutia, au anapitia na hapendi kulipitia lakini kutokua sawa for no reason inafikirisha kidogo.
 
Inaletwa na nini mkuu? Labda kama kuna jambo anajutia, au anapitia na hapendi kulipitia lakini kutokua sawa for no reason inafikirisha kidogo.
Sio Kila kitu kinaelezeka na ambacho kwako hakiwezekani Kwa wengine kipo na kinawezekana ndio maana ya maisha Kwa ujumla
 
Sio Kila kitu kinaelezeka na ambacho kwako hakiwezekani Kwa wengine kipo na kinawezekana ndio maana ya maisha Kwa ujumla
Kipi kisichoelezeka, kwahiyo watu kama mleta uzi huwa wanakufa bila kusaidika??
Yaani hakuna namna mleta uzi atasaidika, maana tatizo halielezeki, atasaidiwaje sasa,??
 
Kipi kisichoelezeka, kwahiyo watu kama mleta uzi huwa wanakufa bila kusaidika??
Yaani hakuna namna mleta uzi atasaidika, maana tatizo halielezeki, atasaidiwaje sasa,??
Sina degree ya ubishi.nilijaribu kuelezea nachojua Kwa uzoefu wangu naomba niishie hapa Kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom