The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa.
Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana nalo.
Mnatuletea picha za mtu kavaa kaunda suti zake unifomu ya uhudumu wa ofisi eti ni Comando wa US...
Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini
Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa.
Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa.
Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu.
Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!
Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy.
Location: DSM
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu!
Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni uhujumu uchumi.
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?
Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa.
Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume.
Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati.
Vijana wale...
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza!
mambo ya elimu ya faraqi
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina?
Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky.
Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.