Wale Vipanga wa Form 4 & Six wanaokuwa kumi bora huwa wanakwenda wapi? Wangetusaidia kwenye kesi za Usuluhushi

John Mloy

Member
Dec 21, 2012
37
154
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa wanapelekwa kwenye kesi kma hizi za usuluhusi na makampuni ya wazungu ambayo kila siku tunashindwa kesi.

Wenzetu kwenye kesi kama hizo huwa wanapeleka vichwa hasa ile cream yenyewe iliyofaulu vizuri kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu.

Vinginevyo labda elimu yetu ina mapungufu au kukariri sana kiasi kwamba hatuwezi kuona impact ya wale vipanga wetu.
 
Kwa wenzetu gani wanapeleka vichwa ? Ulaya/ Marekani hawaangalii umepata ufaulu mkubwa chuo/shule ndio ubebwe kwenye ajira Bali competency ndio maana kule kuingia jeshini rahisi Sanaa

Mfano, kale kajamaa kalikombana proof wenu maswali si Kama miaka 30's ? Bongo kila kitu mnapeleka wazee, kalichaguliwa pale sio sababu kama "uzoefu" zaidi ya 20 years

Mwigulu nasikia alikuwa "kipanga" ila tazama mambo yake
 
Labda uniambie tuwe na wanasheria wenye exposure na hizo mahakama huko tuanze kupeleka watu wanafunzi wasome wakae huko wafanye kazi halafu warudi kwetu tusiwe tu na team ambayo imezoea hapa kwetu tu ndio maana hata kwenye soka unahitaji mechi za kimataifa na wachezaji wakimataifa kuwa na timu nzuri ya taifa.

Kwahiyo tuwe na watu wanaojichanganya huko kwenye mataifa ya watu na kuelewa desturi zao na sio waliozoea mazingira ya bongo tu ili tukikutana nao basi wao ndio wakutubeba najua wapo pia diaspora wengi tena wengine ni wanasheria kwenye mataifa makubwa huko nje labda pia ni wakati na wao waanze kutumika kama sehemu ya timu zetu kusaidia kutureinforce maana kuwa na akili nyingi tu bila exposure ya kimataifa nayo ni shida ila pia tushukuru haya tunayopitia yana tujenga zaidi na kutuongezea uimara.
 
Umeangalia zile video za mwenendo wa hizi arbitration kwenye icsid you tube channel yao zipo nyingi angalia zile za mawakili wetu wakifanya cross examination halafu linganisha na wale wengine unaona kabisa kuna vitu vidogo vidogo tu vya kurekebisha.
nimeona ,nachosema ni ulazima au uvivu wa Hawa jamaa kujihusisha na mambo ya kimataifa

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa kwa kweli ni lazima kujihusisha na mambo ya kimataifa na pia tuwathamini diaspora wetu wataalamu.
Kwasababu nchini hapa tunaushahdi wakushinda kesi kama hizo chini ya waziri mkuu lowasa na wakili wakujitegemea tundulisi huyu huyu chiba wetu

Ccm ilimaindi Sana lowasa kumpa KAZI wakili wakujitegemea ,na kilichotokea lowasa aliyambia serikali kuhusu mawakili niachieni Mimi , kampuni Moja ilikuwa chini ya waingereza ikiwa imebinafishiwa mradi wa maji (dawaco),

Kumbukumbu zangu kama sikosei lowasa alikuwa waziri wa maji enzi zamkapa au mwazoni kikwete ndo wameingia

Kwahiyo ,shida sio mawakili wetu ,shida hapa ,uwekezaji inaonesha nimipango TU ya upigaji ndani ya mfumo watu kujitengenezea pesa kupitia makampuni ya kigeni

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa wanapelekwa kwenye kesi kma hizi za usuluhusi na makampuni ya wazungu ambayo kila siku tunashindwa kesi.

Wenzetu kwenye kesi kama hizo huwa wanapeleka vichwa hasa ile cream yenyewe iliyofaulu vizuri kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu.

Vinginevyo labda elimu yetu ina mapungufu au kukariri sana kiasi kwamba hatuwezi kuona impact ya wale vipanga wetu.
Kuna "kufaulu" Na "kuwa na akili" ..
Mitihani ni kipimo Cha ufaulu tu sio akili....
 
Kwa wenzetu gani wanapeleka vichwa ? Ulaya/ Marekani hawaangalii umepata ufaulu mkubwa chuo/shule ndio ubebwe kwenye ajira Bali competency ndio maana kule kuingia jeshini rahisi Sanaa

Mfano, kale kajamaa kalikombana proof wenu maswali si Kama miaka 30's ? Bongo kila kitu mnapeleka wazee, kalichaguliwa pale sio sababu kama "uzoefu" zaidi ya 20 years

Mwigulu nasikia alikuwa "kipanga" ila tazama mambo yake
Elimu yetu inafundisha "kumeza na kutapika" ..sio "kuelewa na kueleza" ... Yaani unakuta mtu kapata 90 huko lakini kashusha kila kitu kama kwenye notisi.... Hata kutafuta maneno mengine kuelezea kilekile hawezi basi hata mfano atafute mwingine ni uleule wa kwenye notisi...na huyo ndio elimu yetu inamuona ana AKILI...elimu ya hovyohovyo....
 
Ukijibu kwa maneno yako tofauti na handout za lekcha Mnagombana 🤣🤣 walimu wenyewe hawapendi changamoto kama hiyo...wao wanataka notsi zao ndio ziwe zimewekwa pale kwenye answer sheet
 
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa wanapelekwa kwenye kesi kma hizi za usuluhusi na makampuni ya wazungu ambayo kila siku tunashindwa kesi.

Wenzetu kwenye kesi kama hizo huwa wanapeleka vichwa hasa ile cream yenyewe iliyofaulu vizuri kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu.

Vinginevyo labda elimu yetu ina mapungufu au kukariri sana kiasi kwamba hatuwezi kuona impact ya wale vipanga wetu.
hao vipanga ndo hao wakina mruma,palamagamba ambaye matokeo yake law udsm hakuma aliyefikia.
 
Kwani
Kwa wenzetu gani wanapeleka vichwa ? Ulaya/ Marekani hawaangalii umepata ufaulu mkubwa chuo/shule ndio ubebwe kwenye ajira Bali competency ndio maana kule kuingia jeshini rahisi Sanaa

Mfano, kale kajamaa kalikombana proof wenu maswali si Kama miaka 30's ? Bongo kila kitu mnapeleka wazee, kalichaguliwa pale sio sababu kama "uzoefu" zaidi ya 20 years

Mwigulu nasikia alikuwa "kipanga" ila tazama mambo yake
Kwani huku kuingia jeshini vinatumika vigezo gani tofauti na US/Europe?
 
Mwigulu alikua kipanga wapi?? Ana divi 2 ya 10 form 6 EGM

Options for II.10 is B D D, au B C E au A E D au C D D

Hapo kuna kipanga?? Au makarai ya msemo wa ndugai
 
Sasa humu huwa Kuna watu wanatuambia jamaa alikuwa "kipanga" kumbe uongo
 
Kwani

Kwani huku kuingia jeshini vinatumika vigezo gani tofauti na US/Europe?
Huo ni mfano wa ajira nimetoa ambazo huko ni rahisi sana almost kila mtu Ana uwezo wa kupata, point yangu ni kwamba mfumo wa ajira wa Marekani ni mzuri na hawaangalii grades sana Kinyume na mleta mada anavyodhani

Sijamaanisha huku jeshi linaangalia grades za juu, nilitaka kumwambia huyo jamaa uhalisia wa ajira huko
 
Back
Top Bottom