ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 110
Salute to all my fathers, mothers, brothers, sisters and my age mates in this social forum.. straight to the topic of discussion.
nimekuwa nikisikia tetesi nyingi sana hasa kwa makanisa mengi na watumishi wa mungu humu nchini kuhusu maji ya upako.
kuna siku nilikuwa kijiweni muda fulani hivi wa jioni.. kwa kawaida yangu huwa napenda sana sehemu peke yangu ila ushirikiano na watu napenda sana japo Mungu hakunipa skills za kutosha za kujumuika na wenzangu.. nikijumuika nao nakosa la kusema.
katika kukaa kwangu na kasimu kangu ka..pop 2. nikisaikia tetesi tutoka kwa mbaba moja kuhusu maji ya upako..
qouted as.
Yaan yule mwanamke amakaa sana na ule ugonjwa, hata watoto wake wawili wa mwisho walizaliwa wakiwa HIV +.. lakini saiv inasemekana hana ugonjwa .. alienda kanisan na kupewa yale maji ya upako .. mpaka sasa hana ugonjwa" kabla ya sekunde kutengeneza dakika, akafika hapo mzee mmoja aliyevaa miwani ya brown.. mikononi alikuwa amebeba kabegi kadogo.(briefcase).. alivaa koti jeusi ila ndani alivaa shati bila kufunga tai.. " bwana asifiwe!" aliwasalimu wale majamaa kwa heshima sana na unyenyekevu mzuri.. niliupenda lakini.
Maongezi ya kawaida yalipaamba moto pale ila unavyomjua tu mtumishi wa Mungu.. hakusita kugusa neno la Mungu.. nilizidi kuyatega masikio ndi! kwani neno la Mungu nalipenda sana japo mi ni mvivu kwenda kanisani.
Aliendelea kuongea maneno yenye busara kweli kweli huyo mzee, nikaamini kuwa an old is gold, ikiwemo kuwakaribisha watu kwenye kongamano/mkutano ulikuwa unaendeshwa hapo karibu.. aliendelea kusisitizia kwa kusema kuwa.. * tunaponya watu wenye matatizo yote kwa maji ya upako kupitia jina la yesu kristo* uvimbe wa tumbo na MATATIZO MENGINE YOTE.
Baadae nikapigiwa simu.. kuna mgeni alikuwa anahitaji nyumbani kwahiyo sikubahatisha kumsikiliza mpaka mwisho ilibidi tu niende nyumbani.
Naombeni kujua kuhusu hili swala la maji ya upako. ndugu zangu..
Hivi ni kweli yapo na yanaponya?
wanayatoa wapi?
Tujuzane wakubwa..
Karibuni....
Ni mimi mdogo wenu...