Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,601
- 217,992
Kiukweli kuna wadau wa hapa jf ambao ukiwakosa kwa muda mrefu lazima ujiulize.
Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi?
Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi?
Yuko wapi ?Atakuja tu one day
PIA BIG SHOW !!!! Naye wapi siku hizi???Kiukweli kuna wadau wa hapa jf ambao ukiwakosa kwa muda mrefu lazima ujiulize .
Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi ?
sina shaka na Mwanahabari Huru wala Molemo hawa wapo .Dah mwana mageuzi mwenzetu yule cc mwanahabali huru pia kuna molemo molembe
THE BIG SHOW yupoPIA BIG SHOW !!!! Naye wapi siku hizi???
Na LIZABONI!
Mkuu itabidi uzi special UFUNGULIWE wa kusaka members waliopotea jamviniYuko wapi ?
HakikaMkuu itabidi uzi special UFUNGULIWE wa kusaka members waliopotea jamvini
cc Moderators
Si kweliUnaweza Kuta mtu anaulizia ID yake ya akiba JF bwana ni msitu mnene.