Iko wapi ramani ya mpango mji ya Mji wa Kigamboni?

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Habarini Wajanamvi
Mimi ni mkazi wa Kigamboni kwa muda sasa nina 20 yrs katika wilaya hiyo.
Kuna maswali mengi ambyo nimeshindwa kuyajibu kichwani kwangu. Ninaomba mwenye uelewa au kufikisha hili jambo kwa Waziri wa Ardhi.
Si kawaida ya serikali kuona karibu namna ile kwenye ule mji.. Nahisi kuna hujuma kubwa Serikali yetu imefanyiwa na kutudhulumu sisi wananchi kwa manufaa ya Watu wa chache Sana.
1.Tunaiomba serikali ifutilie Ramani ya awali kabisa ya wilaya hii ya kigamboni ambyo zamani ilikua chini ya Temeke hasa Eneo la feri ambapo
Tuweze kujua :
a/ Je ni kweli Kivuko hakina eneo zaidi ya gati lakushushia watukutoka kwa Pantoni!
b/ Je Hakukutengwa Eneo la kituo cha police feri zaidi ya kile kakibanda kalikozungukwa na maduka ya Scaba scuba kila pnde
c/ Serikali ilitenga ile miguu miwili kwa miwili kwajili ya vijengo vidogo vyakukatia tiketi ambavyo vimezungukwa na maduka ya scaba scuba pande zote, kweli serikai ilitenga vile vinjia vya one way tu kwaajili ya kuingia na kutoka kwa pantoni.. Ukipata dharura kwenye njia hizihuwezi geuka n gari..njini ndogo hakuna njia ya waenda kwa miguu ni msongamno wa hali ya juu.

d/TUONESHE WAPI ENEO LA STENDI YA MAGRI YA ABIRIA. Huwezi kuamini kigamboni feri hakun kabisa stendi y a magari akati pantoni linashusha.. Sitaki kuamini eti serikali haikuona mbali n hakukuwa na Eneo l stendi.. Tumekuwa tukitumia stendi Eneo la kanisa KKKT feri kwa muda na eneo la Chuo cha mwalimu nyerere.. Eti kweli mipango mji hawakutenga stend? Lakini kila penye harufu y haya maeneo muhimu stand... Police.. Kivuko...Soko Kote kuna maduka ya huyu mtu scaba scuba.... Hapa inawezekana kuna watu walituhujumu nakumuuzia huyu mtu haya maeneo ya jamii..
Watu sasa wamekuwa wengi kigamboni.. Hakuna stendi Sas tumeombewa temorary Stand Eneo la bandari bndri wakikataa, KKKT au Mwalimu nyerere wakifukuza n kuchukua eneo lao bsi watu wooote kigamboni hkuna stend kbisa.. Ndio unaeleka daldl kuleee TAnesco umbali wa km 3/4 kutok feri.. Ina maana gani ushuke kenye pantoni uendekupanda daladala round about ya Darajani.
e/Sasa nafikiri hatujachelewa kuipitia Ramani hiyo nakuyarudisha maeneo haya mikononi mwa serikali.. Tupte Stendi.. Kituo cha police... Soko kubwa na sehemu ya kivuko iwe free sio hayo maduka mak kwenye mitaro.
Tafakari:MBONA KANISA NA MSIKITI IPO HAPO.....

IKO WAPI RAMANI YA MIPANGO MIJI YA WILAYA YA KIGAMBONI? HASA ENRO LA FERI????

Nielewesheni wanajmvi....
 
Wizara ya Ardhi ni Wizara iliyoshindikana kwa MIGOGORO inayotengenezwa na WATENDAJI WAKE
 
Nenda Kigamboni manispaa ofisi ya mipango miji wanao mchoro wa Kigamboni ingawa baadhi ya sehemu hazionyeshi chochote
 
Hii kigamboni tuliambiwa walipewa mabeberu, sijui akina Bush wajenge jiji la kisasa kama New York........kama wameghairi basi tupewe hivyo viwanja tuendelee na mipango yetu ya nyumba za tembe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom