Yu wapi Mtende?

Yu wapi Mtende?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,785
Reaction score
51,526
Habari za wakati huu, weekend inaendaje huko mliko wakuu

Binafsi nilikuwa sijui Hata kama leo ni jumamosi walai😁😁..tuachane na hilo 😊

Katika pitapita zangu mitandaoni leo nikakutana na picha ya Jackie Apiah (actress kama sio Nigeria basi Ghana)
Mara ghafla Id ya Mtende ikakatiza kichwani chwaaa😁.nikasema isiwe tabu ngoja Nimcheki 😳inaonesha post ya mwisho ni March...🤔

Ninaimani kuna watu wanafahamiana nae humu ndani😊.huyu mtu huko alipo ni mzima?

Nawasilisha.
 
Hapa JF kuna ID's hupotea na hata usijue tena ni nini sababu...

Lakini pia zipo zinazopotea na kuja kuibuka baadaye, bila shaka Mtende naye tumtarajie kuibuka...

Mwisho, wadada wazuri wazuri tukijuliana hali huko PM muwe mnatoa ushirikiano basi, ili tupunguze sredi kama hizi 😁😉😉
 
Back
Top Bottom