Golds zinaendaga wapi au ziko wapi?

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,813
8,659
Haina haja la salam maana na jua hampo salama.(tozo 😅) Ni we direct kidogo tusipoteze muda, pia niwaombe wasomaji mtakao kuwa mnafahamu kuhusu hii issue bac mm na jukwaa kwa ujumla tuna subiri michango yenu.

wote tunajua madini ya Dhahabu au Gold kwa kingereza ni madini muhimu sana kwa kutendeneza urembo na useful material zenye samani sana. Kwenye soko la dunia yan world gold market Beings of Adams wame anza kushituka, Kwamba total gold extracted is not incorporated in to the world market. yan gold inayo chibwa asilimia kubwa haijulikani inapo enda.

Kusema watu wanatunzq nyumba kwa sana inajulikana kwa sababu inchi zote zinazo toa golds zinajulikana in amounts na ziko monitored.

annunaki walihisiswa na upokeaji wa gold izo kutoka kwa wanadamu lakin ma shiko ya point hiyo yakawa madogo sana kama ilivo elezwa na ABC NEWS mwaka 2013 lakin juzi kati hapa UFO wamekuwa comfirmed mada ina raise tenaa kwamba Golds zetu kuna namuna zinapo endaa.

mtandao pendwa wa Qoura watu wengu huchangia michango yao lakin kwa uchambuzi wengi husema annunaki are the creators of the modern days of humans wengine huusianisha na sayari ya NIBIRU kama unavo ona kwenye picha hapo.

sasa nilizie na nyie wadau wa forum ya jamii mnasemajee? Miaka kadhaa nyuma. lifecoded alikuwa na uzi wa kuelezea haya mambo lakin kipimdi ichoo UFO hawakuwa comfirmed . lakin now days Pentagon wenyewe wamejonea kwa macho UfOs.

uzi tayari

Screenshot_2021-09-01-10-32-41.png
 
Na je? Ni viumbe ambavyo havionekaniki kwa macho ya kawaida wanakula nn na wanaishi wapi
Moaka sasa kitu ambacho kipo comfirmed ni kwamba dunia kuna vifaa au vyombo ambavyo kuna muda vinaoneka vikifanya safari kutoka sehemu moja na kwenda nyingine kwa maana ya uootevu wa gaflaa. vyombo hivo vimepewa jina muda sasa kam UFOs yani ikiwa na maana uknown flying Objects. lakin theories zimekuwa nyingi tunaziita theories kwa maana hatuna hithibati navyoo. Viumbe hawa sidhan kama wanaonekana kwa macho au mialw yao bongo zetu haziwez kutafsiri na kutoa picture halisi. nilisoma muda tablet za mjusi lezerta " kwamba viumbe hawa utamuota kwa macho ya kawaida yeye akitaka umuone na si vinginevyoo.

Kwa makazi wengine huusisha na sayari ya nibiru, wengine huwaterm kama ni wale fallen angles so dunian humu tupo nao and many more
 
Nilishawahi sema kuhusu Hilo swala la Anunak na Gold katika michango yangu humu jamvini wengi waliniona kichaa,
Ila hawajiulizi machimbo Yale ya dhahabu ya Mwenemutapa Zimbabwe yalichimbwa kiustadi na viumbe Gani hakuna jibu,
Maana Kwa binadamu wa kipindi kile hasa huko Zimbabwe kusema walikua na ujuzi wa ajabu vile Bado inabakia kua ni ajabu vile vile!
 
Dunia si km unavo dhania!! .....hao viumbe wapo hata Bongo yenu humo!!.... ila sasa wengi mukimuona Annunaki utalia Mama weee nimeona jini Makata!! ndege zao zina kasi mno!

Lengo la0 la kubeba dhahabu, ni kwa sababu wanazitaka ajili ya kuimarisha mazingira ya sayari yao, ambayo yameharibiwa kwa miaka mingi sana!!! Gold ni good reflector!! kwa hiyo wanaweka gold baloons in the NIBIRU planet, ajili ya ku-reflect mwanga wa jua.

kwa kufanya hivo wanatunza Mazingira ya Sayari yao kwa kiwango kinacho takiwa, ....ktk Galaxy hatuko peke yetu, wako viumbe wengine wengi ambao hawakumuasi Mungu, bado wanapeta!!!

Tatizo letu ni yule Mwanamke aliye piga story na shetani Bustanini, yulee aliye pewa Adamu ndo alituponza Dunia nzima, tukapigika mbaya mpaka leo tunapigika na bado tunapigika hasa.

Wenzetu sayari nyingine za juu, wanajua kichapo na adhabu tunayoitumikia sasa ivi, kila leo Malaika wana wapa onyo kuwa ''mkijichanganya kidogo tu, mtakuwa km Bin adamu wa Sayari ya Dunia,... kwa hiyo

wasiwasi wa Mwanadamu! hasa wazungu wanaogopa kuja kuwa Colonised na hawa Viumbe wa anga za juu!! kuumbe wao hawana muda na sisi, wako mbali, kwa kila kitu,

kwa muda mrefu sasa, imekuwa siri yao hao! wazungu! na watawala wa Dunia!! walishajua kitambo kuwa hao viumbe wapo! na hawakamatiki kwa kila kitu! sisi cha mtoto tu! wanajaribu kila leo mpaka mida hii, il kuwadadisi lkn wapi.

Jamii pekee iliyo lala fofofooo! fofoo na haijishughulishi ni Maafrica!!! yenyewe ni kushikana uchawi tuuuu!! kila kukicha mara yanatiana vidole vya ufanya kazi hewa, mara uhujumu uchumi, yanagombania, dhahabu, hela ambazo hata hayajui zina toka wapi!!

Ilimradi tu yamegombana kuchukiana bila sababu za maana!

Kifupi NIBIRUIANs na wengine wengi Wapo wanachapa kazi kwa kwenda mbele na wako mbali kwa kila hali, hawali vyakula vyetu hivi! walio bahatika kwenda huko hawaja rudi mpaka Leo,

Bila shaka mme wahi sikia, au hata kuona watu wazima , vijana, watoto kupotea ghafla ktk Mazingira ya kutatanisha, na hawakupatikana mpaka leo! wala kusikikika Basi huwa wanachukuliwa na viumbe hawa wa anga za juu,

Mfano kitunda hapo kuna jamaa mmoja Mkurya,Mr. Wankyo, Mwenyeji wa Mugumu-Serengeti alipotelewa na Binti yake ghafla! hakupatikana richa ya maombi na uchawi, mpaka wa leo! nadhani km ni kuolewa amesha zaa!!

Nina mifano! na Nina mengi ntarudi ngoja ninywe maji...... weee naniiiii....... weweeee ebu!.........
 
pentagon wamecomfirm juzi maana wao ndo walikuwa wabishi sanaa. Kwa sasa dunia UFOs sio story tenaa tunajua vipo lakin lakin ukwel hasa ni nini icho haijulikan
Mkuu pentagon waliconfirm kupitia nini uko na link uweke hapa na sie tuone
 
Haina haja la salam maana na jua hampo salama.(tozo 😅) Ni we direct kidogo tusipoteze muda, pia niwaombe wasomaji mtakao kuwa mnafahamu kuhusu hii issue bac mm na jukwaa kwa ujumla tuna subiri michango yenu.

wote tunajua madini ya Dhahabu au Gold kwa kingereza ni madini muhimu sana kwa kutendeneza urembo na useful material zenye samani sana. Kwenye soko la dunia yan world gold market Beings of Adams wame anza kushituka, Kwamba total gold extracted is not incorporated in to the world market. yan gold inayo chibwa asilimia kubwa haijulikani inapo enda.

Kusema watu wanatunzq nyumba kwa sana inajulikana kwa sababu inchi zote zinazo toa golds zinajulikana in amounts na ziko monitored.

annunaki walihisiswa na upokeaji wa gold izo kutoka kwa wanadamu lakin ma shiko ya point hiyo yakawa madogo sana kama ilivo elezwa na ABC NEWS mwaka 2013 lakin juzi kati hapa UFO wamekuwa comfirmed mada ina raise tenaa kwamba Golds zetu kuna namuna zinapo endaa.

mtandao pendwa wa Qoura watu wengu huchangia michango yao lakin kwa uchambuzi wengi husema annunaki are the creators of the modern days of humans wengine huusianisha na sayari ya NIBIRU kama unavo ona kwenye picha hapo.

sasa nilizie na nyie wadau wa forum ya jamii mnasemajee? Miaka kadhaa nyuma. lifecoded alikuwa na uzi wa kuelezea haya mambo lakin kipimdi ichoo UFO hawakuwa comfirmed . lakin now days Pentagon wenyewe wamejonea kwa macho UfOs.

uzi tayari

Dhahabu inapelekwa kwenye sayari ya Nibiru!! ili kuzuia mialai ya mwanga wa jua!! unao gonga mojakwa moja kwenye sayari yao! na kuharibu mazingira!

kifupi ni kuwa Nibiru Mazingira yao yameharibika mnoo kutokana na matumizi mabaya ya ardhi, mpaka kutishia uhai wao!! Sayari pekee yenye neema ni Dunia! na il watunze sayari yao ya Nibiru inabidi wawe na madini ya dhahabu!!

Yanatumikaje /afanyaje;

Haya madini ya Dhahabu yana reflect sun Rays hivo kuzuia athari kwenye us wa Nibiru planet, Annunakis hawa ndo wafadhili wakubwa wa manunuzi ya dhahabu wanabadilishana na siraha! na kuna

agents wengi weupe wazungu Duniani, na wengine ni viongozi wakubwa kama, Merovengiani families, Maquees de libex, Kennedy family, nk Queen Elizabeth wa uk. ni Annunaki agent yule!! na wana zaliana by blood hawatoki nje yao!

wao wanampa mzungu siraha na vifaa ili yeye mzungu awe anawachimbia annunaki dhahabu, na ku control Dunia kwa matumizi yao hawa Anunaki ndo wanafanya bei ya dhahabu kupanda Duniani. lkni ni siri ya wazungu!

Umewahi kujiuliza kwa nini Africa hatununui dhahabu au kuwa na matumizi ya dhahabu??? SHINYANGA NA MWANZA, TARIME NYAMONGO! yaani wenyeji wamelala fofofooo! hawajui!

Lkn mpaka mwaka 2o50 wata stop kununua tena!! hata mfanyeje weusi nyie hamta jua matumizi ya hiiz dhahabu zenu....Saddam alijipendekeza kuwajua ANNUAKI alichokipata hkn asiye jua humu!

Matumizi ya dhahabu ni dhana fiche wachache sana tunajua haya, hata ivo wananitafuta kwa kutoa siri hii ila hawa niwezi mie!....haiwezekani dhahbu ichimbwe migodini huko usiku na mchana bila kikomo!
 
Waulize Ile dhahabu aliyomiliki Mansa Musa Kankan ilipotelea wapi?
Na Waulize kilichomkuta baada ya kugawa dhahabu kama njugu kutoka Mali empire Mpaka Mecca mwisho wake ulivyokua,huwezi chezea Mali za viumbe Hatari kiasi kile halafu wakuache salama salimini!
 
Acheni kutusengenya nyinyi kila siku mnatudiss annunaki annunaki kwani tumewanyima nini..?
Kama mbwai iwe mbwai ndio dhahabu zenu tunachukua sisi hamna pa kutushitaki na mkizidi tunawapiga na vitu vizito kichwani bladfakin.😎
 
Dunia si km unavo dhania!! .....hao viumbe wapo hata Bongo yenu humo!!.... ila sasa wengi mukimuona Annunaki utalia Mama weee nimeona jini Makata!! ndege zao zina kasi mno!

Lengo la0 la kubeba dhahabu, ni kwa sababu wanazitaka ajili ya kuimarisha mazingira ya sayari yao, ambayo yameharibiwa kwa miaka mingi sana!!! Gold ni good reflector!! kwa hiyo wanaweka gold baloons in the NIBIRU planet, ajili ya ku-reflect mwanga wa jua.

kwa kufanya hivo wanatunza Mazingira ya Sayari yao kwa kiwango kinacho takiwa, ....ktk Galaxy hatuko peke yetu, wako viumbe wengine wengi ambao hawakumuasi Mungu, bado wanapeta!!!

Tatizo letu ni yule Mwanamke aliye piga story na shetani Bustanini, yulee aliye pewa Adamu ndo alituponza Dunia nzima, tukapigika mbaya mpaka leo tunapigika na bado tunapigika hasa.

Wenzetu sayari nyingine za juu, wanajua kichapo na adhabu tunayoitumikia sasa ivi, kila leo Malaika wana wapa onyo kuwa ''mkijichanganya kidogo tu, mtakuwa km Bin adamu wa Sayari ya Dunia,... kwa hiyo

wasiwasi wa Mwanadamu! hasa wazungu wanaogopa kuja kuwa Colonised na hawa Viumbe wa anga za juu!! kuumbe wao hawana muda na sisi, wako mbali, kwa kila kitu,

kwa muda mrefu sasa, imekuwa siri yao hao! wazungu! na watawala wa Dunia!! walishajua kitambo kuwa hao viumbe wapo! na hawakamatiki kwa kila kitu! sisi cha mtoto tu! wanajaribu kila leo mpaka mida hii, il kuwadadisi lkn wapi.

Jamii pekee iliyo lala fofofooo! fofoo na haijishughulishi ni Maafrica!!! yenyewe ni kushikana uchawi tuuuu!! kila kukicha mara yanatiana vidole vya ufanya kazi hewa, mara uhujumu uchumi, yanagombania, dhahabu, hela ambazo hata hayajui zina toka wapi!!

Ilimradi tu yamegombana kuchukiana bila sababu za maana!

Kifupi NIBIRUIANs na wengine wengi Wapo wanachapa kazi kwa kwenda mbele na wako mbali kwa kila hali, hawali vyakula vyetu hivi! walio bahatika kwenda huko hawaja rudi mpaka Leo,

Bila shaka mme wahi sikia, au hata kuona watu wazima , vijana, watoto kupotea ghafla ktk Mazingira ya kutatanisha, na hawakupatikana mpaka leo! wala kusikikika Basi huwa wanachukuliwa na viumbe hawa wa anga za juu,

Mfano kitunda hapo kuna jamaa mmoja Mkurya,Mr. Wankyo, Mwenyeji wa Mugumu-Serengeti alipotelewa na Binti yake ghafla! hakupatikana richa ya maombi na uchawi, mpaka wa leo! nadhani km ni kuolewa amesha zaa!!

Nina mifano! na Nina mengi ntarudi ngoja ninywe maji...... weee naniiiii....... weweeee ebu!.........
Mi kuku nimeona pumba tuuu
 
Waulize Ile dhahabu aliyomiliki Mansa Musa Kankan ilipotelea wapi?
Na Waulize kilichomkuta baada ya kugawa dhahabu kama njugu kutoka Mali empire Mpaka Mecca mwisho wake ulivyokua,huwezi chezea Mali za viumbe Hatari kiasi kile halafu wakuache salama salimini!
Ivi wewe kichwani mwako Kuna kuaga na nini wewe????
Tangu lini ukaskia mzungu anaejitambua aka kutakia mema we mtu mweusi??.
Hamna siku nta kaa nikuelewage wewe
 
Back
Top Bottom