wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wasanii wa filamu wa kiume kulialia nje ya location imetoka wapi?

    Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani.... Mi ninavyoelewa machozi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

    Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena Instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake.. Mwenye latest ubuyu kuhusu Jacky Mengi atugee
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ule wa Nuhu- ndio huu sasa

  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapi napata dawa ya COVIDOL ?

    wakubwa nauliza si kwa ubaya naweza pata wapi ile dawa ya Madagascar iliyozinduliwa na muheshimiwa Kaboud mwaka jana
  5. JamiiForums Tanzania Le mutuz yuko wapi?

    A.k.a Field marshal, Sauti ya umeme, Toka NYC beibi. Mzee wa Noah Mzee wa mabebez. Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe. Mpk leo kimyaaa. Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima. Hana bando au? Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
  6. JamiiForums Tanzania Nolle prosequi iliyotabiriwa itatolewa kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ikifika 14.12.2021 imepotelea wapi

    https://www.jamiiforums.com/threads/terehe-14-disemba-2021-dpp-atawasilisha-nolle-kesi-ya-akina-mbowe.1936131/
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

    Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema. Yupo wapi huyu mtu?
  8. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapo wapi Wajukuu wa Skeleton a.ka WAWASKE?

    Hawa jamaa walitamba sana kimuziki miaka ya 2005 pale mkoani Mbeya, waliwahi kurekodi nyimbo moja kwa MAJANI inayoitwa NIOKOENI. Kiongozi mkuu wa kundi hili alikuwa akiitwa Nabii Amos. hivi wako wapi hawa jamaa waliokuwa wanatokea pale NZOVWE Mbeya. kipindi hicho Rayvany Van Boy anaimba kwaya...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Ni nadra sana kumkuta Mtanzania wa visiwa vya Zanzibar akijitambulisha kwamba yeye ni Mtanzania. Nimefanya utafiti wangu usio rasmi kuhusu hili suala. Ukimkuta Mzanzibari nje ya nchi, halafu ukamuuliza ikiwa yeye ni mtanzania, mara nyingi utapokea jibu kwamba 'Mimi ni Mzanzibari'. Yaani ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza ku-renew line siku ya Jumapili?

    Habari wadau Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani line nilizopoteza ni TTCL TIGO HALOTEL SMILE VODACOM AIRTEL Natanguliza shukrani za dhati
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgeni Siku ya Kwanza (Ni wapi Chimbuko la hili Shairi la Kale)

    Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na panza; mtilie kifuani, mkaribishe mgeni. Mgeni siku ya pili mpe ziwa na samli; mahaba yakizidia, mzidishie mgeni. Mgeni siku ya tatu jumbani hamuna kitu. mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni. Mgeni siku ya nne mpe jembe akalime. akirudi muagane, aende kwao...
  15. JamiiForums Tanzania Wapi viota vizuri kwa makutano?

    Hope mu wazima. Kwa sie wakongwe ni wapi viota vizuri vya kubarizi? Wakati mwingine katika umri huu kuanzia miaka 35 na kuendelea bila kubagua jinsia tunahitaji tena kurichaji mbongo zetu tunapokutana na watu wapya ili kuyajenga pia. Maeneo mazuri ya burudani ni wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo: Kwanini wathibiti Ubora wa Elimu Mashuleni hamvai barakoa?

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na Covid-19. Ameonge hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uthibiti Ubora kwa Maafisa Elimu Kata na Wakuu...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi alishindwa Uwaziri ameshindwa Ubalozi tutampeleka wapi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa. Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote alilofanikiwa kwenye Wizara hiyo na baada ya kumuunga mkono Lowasa chama kikamkataa. Akazunguka kidogo Kwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

    Jk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…