wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Soya bean ya Kariakoo inatoka wapi?

    Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi? Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
  3. The Eye

    JamiiForums Tanzania Steering Racing Wheel inapatika wapi kwa Dodoma?

    Wakuu. Naulizia sehemu yenye "steering racing wheel games" kwa Dodoma mjini. Sina gari,nataka niwe napunguza machungu kwenye hizo games.
  4. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo wa 100,000 kwa siku ya kesho narudisha jumamosi.

    Wakuu, Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani). Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza. Naishi Dar...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

    Habari Wakuu. Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  7. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi master lecture?

    Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni...
  8. nyangelekene

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

    Sijaelewa shida nini ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi uliopita(wa kwanza) deni lilikua milioni 3 mwezi wa pili milioni 3, watu wengi wanalalamika madeni kuongezeka wengine wanamaliza lakini mwezi unaofuata wanakuta ongezeko tena. Shida ni nini? Hakuna taarifa yoyote wala ufafanuzi au...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Grundig Fire Tv, je nitaipata wapi?

    Grundig Fire TV ndio TV 📺 ya kwanza kutengenezwa kwa mfumo wa OLED. Je kwa Dar es Salaam naweza kupata bidhaa hii ya Kijerumani au mpaka niagize nje?
  10. VentureCapitalist

    JamiiForums Tanzania Nime-fall in love huku JF...

    Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja. Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha! Ni pale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tax management assistant na Customs assistant wapi kuna maslahi zaidi nje ya mshahara?

    Jamani tujikite na kichwa cha habari hapo juu. Wapi kuna maslahi zaidi nje ya mshahara?
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Sauda Mwilima?

    Siku nyingi sijamsikia huyu dada, kwasasa yuko wapi?
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kiafrika na suala la umri Afrika tunakosea wapi? Cheki hapa...

    Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui.. Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16).. kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana huyu janja...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

    Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika. Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mnanda unakumbuka nini au wapi?

    Binafsi inanikumbusha mwaka 1979 mjini Njombe alikuwepo Afisa Utamaduni mmoja aliitwa Sapali aliitumia kuburudisha kwenye sherehe mbalimbali za kiserikali na chama tawala, vilevile mjini Iringa alikuwepo mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi Igangilonga kama sikosei sana alikuwa anaipiga kwa...
  16. magasi jnr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

    Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
  17. Dispaaaaz

    JamiiForums Tanzania Embolization Tanzania inafanyika wapi na ni bei gani.

    Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tupate wapi tena Rais kama huyu?

    Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake? 1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa kesi zao Ukamilike,Sasa itakuwa ni marufuku kupeleka mtuhumiwa magereza kama Upepelezi wa kesi yake...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa waganga wasiende; Kwa manabii wasiende, mnataka waende wapi?

    Angalizo; Andiko hili linaweza likawa na Lugha Kali inayoumiza, hivyo Kama wewe sio mtu wa kuhimili lugha Kali nakusihi ishia hapahapa! Au usome ukiwa chini ya uangalizi wa Wanasaikolojia na Wataalamu wa mihemko. Kama utaendelea kusoma itahesabika kuwa unahimili au upo chini ya uangalizi...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Marais wengine wenye uthubutu na ujasiri kama Hayati Magufuli tungekuwa wapi kimaendeleo hii miaka 60?

    Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
Back
Top Bottom