Embolization Tanzania inafanyika wapi na ni bei gani.

Embolization Tanzania inafanyika wapi na ni bei gani.

Dispaaaaz

New Member
Joined
Feb 18, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi?
 
Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu yake ni sh. Ngapi.?
Nenda Urology dept. - Muhimbili.
Usijidiagnose kabla hujamuona daktari, unaweza ukadhani varicocele kumbe testicular cancer.
 
Back
Top Bottom