Yeah, naujua ule unaitwa bibala bala km sikosei. Ila mimi, simne naufili zaidi.....sauti nyororo, vyombo vimetulia sana; una hisia sanaAchana na huo kuna mmoja alishirikishwa na awilo....
Ila tuje kwenye topic kama atakuwa yupo hai basi umri ndio sababu yakutokwepo kwenye game.