Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake

Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au Mbagala United. Isipokuwa tu CAF wanaibeba flani hivi.

Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.

Siku hiyo hiyo nikaenda kwa Ustaadhi wangu Shaban (huyu jamaa anaweza hata kukwambia siku yako ya kufa) akaaangalia.....akatikisa kichwa...kuwa siku,tarehe na muda wa leo si rafiki kwa Simba. Hasa kipindi hiki cha Ramadhani. Naye akasema wakijitahidi Draw.😁

Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 20,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.

Majibu niliyopata kwa Mzee wangu,Ustaadhi Shaban ni kuwa amemaliza mchezo.

Sasa nimekaa kwa amani kabisa nasubiri jioni kufuturu .futru itakuwa na thawab kuwa ikiwa nitakuwa na amani moyoni. Sina shaka kabisa. Furaha yangu itakamilika Jumatatu nikipita wapa pole mikia maofisini.

Leo kwa Mkapa hatoki Simba. Arudi kwenye Ligi yetu nako tuendelee kumchapa.

Matokeo yakiwa Tofauti nipigwe Ban ya week moja. Na pia nitatembea bila viatu kwa siku moja.
 
Wewe siye muamuzi wa Funga. Na huu si ushirikina. Hawa wote wanatumia kitabu na nyota ...wewe wa wapi wewe? Unadnani ni matunguli?
Mwanzoni nilifikiri Manara anaposema kwamba wenye akili huko utopoloni ni wawili tu yaani Sunday Manara na JK ni porojo za manara ,lakini sasa nimeanza kuamini usemi huo kwamba huko utopoloni wote ni hamnazo
 
Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake

Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana... Kama unavyoiona Ruvu Shooting au Mbagala United. Isipokuwa tu CAF wanaibeba flani hivi.

Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia... Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.

Siku hiyo hiyo nikaenda kwa Ustaadhi wangu Shaban (huyu jamaa anaweza hata kukwambia siku yako ya kufa) akaaangalia.....akatikisa kichwa...kuwa siku,tarehe na muda wa leo si rafiki kwa Simba. Hasa kipindi hiki cha Ramadhani. Naye akasema wakijitahidi Draw.

Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 20,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.

Majibu niliyopata kwa Mzee wangu,Ustaadhi Shaban ni kuwa amemaliza mchezo.

Sasa nimekaa kwa amani kabisa nasubiri jioni kufuturu .futru itakuwa na thawab kuwa ikiwa nitakuwa na amani moyoni. Sina shaka kabisa. Furaha yangu itakamilika Jumatatu nikipita wapa pole mikia maofisini.

Leo kwa Mkapa hatoki Simba. Arudi kwenye Ligi yetu nako tuendelee kumchapa.

Matokeo yakiwa Tofauti nipigwe Ban ya week moja. Na pia nitatembea bila viatu kwa siku moja.
Ndio Tz hiyo niijuayo
 
Back
Top Bottom