The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida:
Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani?
Wenzetu kama sisi hawa hapa:
Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei:
Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?
Mama...
.Mtu Akifumania anaua
.Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga
.Mwingine nae wivu tu kameza madonge.
.Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake.
Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd.
Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni...
Wakati wa Mwalimu Nyerere hatukusikia wala kuona hivi vituko vinavyotokea siku hizi,hata alipokuja Ali Hassani Mwinyi, Mkapa na yalianza kuchomoza kidogo wakati wa Kikwete na yamekuwa na kukuzwa kupita mipaka kwa Hayati Magufuli na sasa ndio usiseme Raisi Samia akikohoa utaona kwenye vyombo vya...
Habari wakuu.
Naomba kufahamu kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za viwango za kampuni ya JBL.
Nimejaribu Mlimani city ila nikakuta wana options chache. Naomba kujua dedicated shop ya sound bars za JBL.
Ahsante sana.
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.
Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.
1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya...
Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK ,
Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia?
Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga,
sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
Kuna wakati haya majina yalijipatia umaarufu mkubwa sana hapa nchini kutokana na kuchangia mijadala mbalimbali ya kisiasa kidini na kijamii.
Hawa walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakichangia mada mbalimbali zilizoletwa na ukisikiliza michango yao unapanuka sana kiufahamu na kiuelewa...
Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo.
Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.
Huu sasa ni uhuni.
Kwema Wakuu!
Nimewakumbuka Sana! Hivi wako wapi? Mko wapi? Tafadhali naombeni mnijibu!
Taikon nitawarudisha na kuwapeleka mpaka kijiji cha Makanya huko nilikozaliwa, pengine labda Waislam hao ndipo walipokuwa wanapatikana lakini hapana, nilibahatika kuwaona wakati Fulani nilipoenda Morogoro...
Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe.
Tunajua ujenzi...
Salaam Wakuu,
Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri.
Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa.
Haji kadai Wakati...
Huko Narumu ni kule kwenye Kata aliyopeleka 1.5Bilioni za barabara.
Leo anasema anapeleka kwenye kata hiyo hiyo 500 milioni?
Huyu mbunge ni mbinafsi na muongo na kuna kila dalili uchaguzi ujao atapata kura za Narumu tu.
===
Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa Wilaya hiyo...
Habari za wakati huu wajasiriapesa wenzetu;
Kwanza kabisa niwashukuru sana wale ambao hunitafuta na kutumia huduma zangu za ushauri na uelekezi ni niwaambie kwamba wanachangia katika kunipa elimu na maarifa mengi huku nikitengeneza kipato kidogo cha pembeni. Nawashukuru pia kwa sababu kila mara...
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu.
Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.
Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.
Ninaomba kufahamishwa wandugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.