Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa.

Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
 
Yaonekana Mwamba umepigwa na kitu kizito sana
IMG_20210822_145814.jpg
 
Baada ya kuchezea block umekuja hapa kumlaumu aliye kublock, hivi unadhani huyo mpenzi wako yupo hapa?

Ukileta za kuleta block ni halali yako 😂
 
Back
Top Bottom