wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Movies na mipira, pitieni Canal+ online mpate kuburudika

    Unachohitaji ni Internet ya uhakika: Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke. Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to Baada ya hapo, channels kibao zitakuja, endelea kumove. Unaweza kuwa unapitia kwenye sub menu.
  2. Daby

    JamiiForums Tanzania Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

    Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya.... Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani...
  3. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa "nature documentaries", je umeangalia zipi kati ya hizo?

    Nimekuwa mpenzi wa nature docs, izo ni baadhi ya nilizonazo, nipeni mapendekezo ya nyingine nzuri zaidi nizicheki.
  4. Daby

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa. TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax. My favorite so far: 1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa. 2. Temptation island 3. Too hot to handle 4. Forever...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  6. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ladies hi hills

    Habari waungwana,karibuni tufanye biashara ya viatu vya ladies hill...kuazia nchi 1,2,3,4,5 hadi 6....tunapatikana kinondoni mkwajuni...tunauza kwa rejarejaa @25000,na jumla kuazia pr 10 tunafanya biashar.pia.unaweza kutembelea page yetu istagram house_of_shoe_and_bags.ntakuwa naweka baadhi ya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  8. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Maua yakupamba nyumba : Artificial

    Wale wapenzi wa maua ya kupamba nnyumba Haya yako kibao huko alxpes kwa kianzia 5000 Aliexps link 👉🏻31/37 cm künstliche Schlangenpflanzen, gefälschte Sukkulenten, Kunststoff, Tigerfellpflanze, tropische Sansevieria für Büro, Zuhause, Tischdekoration - AliExpress 15
  10. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

    Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movies za Kijapan

    Ukitoa Hollywood, Japan ndiyo wanafuata kwa kutoa movies nzuri na za akili, iwe ni action, drama au animation. Na upande wa animations wanaweza kuwa wanaizidi hollywood. Na ubora wao upo toka miaka hiyo tunatawaliwa. Kama unapenda movies zao share hapa. Hii 11 Rebels ya 2024 ina story na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!

    Mitsubishi Outlander PHEV ni moja ya magari ya plug-in hybrid yanayoongoza duniani, likiwa na mchanganyiko wa teknolojia ya engine ya petroli na mfumo wa umeme. Mfumo wa Injini Outlander PHEV inatumia injini ya petrol ya cc 2,000 ikiwa na 4-cylinders, pamoja na mfumo wa umeme unaotoa jumla ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

    Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao? Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita. Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
Back
Top Bottom