wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nina Umri wa Miaka 40, Nilianza Sex Nikiwa na Miaka 20, Sijawahi Toa Bikra ya Mwanamke Ila Nimekutana Nazo Mbili

    Sasa ndugu zanguni, mimi ni mtu mzima kabisa, nina miaka 40. Nilianza shughuli za watu wazima nikiwa na miaka 20, nikawa mfuatiliaji mzuri wa mambo ya "unyama wa mwituni", kwa lugha nyepesi—tulianza kupiga mpira miguuni bila viatu. 😂 Katika miaka hii 20 ya utafiti wa "mambo ya ndani", nimepita...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Magari ya Audi: Kuanzia mwaka 2025 Audi A4 hatunazo tena, zimekua replaced na Audi A5!

    Tumetoka mbali sana na Audi A4, kuanzia mwaka 1994 na hatimaye tumefika mwisho wake baada ya miaka 30. Hadi sasa tumekua na jumla ya generations tano za A4, kuanzia B5 ya mwaka 1994 hadi B9 ya 2015. 1st Gen B5 2nd Gen B6 3rd Gen B7 4th Gen B8 5th Gen B9 Ni moja ya gari nilizowahi zielewa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje?? Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii.. Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa...
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania WAPENZI WA NYIMBO ZA ANJILI NJOONI HAPA

    Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa 1; AIC Chang'ombe 2; Kwaya ya Mama jus 3;Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama 4;Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi...
  5. Ader fla19

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Efootball

    kwa wapenzi wa Efootball katika harakati za kupunguza stress na kutafuta burudani kwa bei chee karibuni tutengeneze league yetu wenyewe.... Cha kufanya tunatengeneza Group la wasap kwa ajili ya kutuma matokeo ya mechi ya kila mtu.. Nicheki wasap #0753112808 tuma jina la team yako na logo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  7. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Hii ni dharau ya Injinia Hersi kwa wapenzi wa Yanga

    Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tabia nyengine za wapenzi wetu tusizilaumu sana, pengine alikutana na zimwi kabla yako!

    Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!". kila binadamu huwa ana namna yakujilinda...
  9. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa kusikiliza spoken word

    kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza spoken words umeshamsikiliza uyu jamaa wa +254 mwamba Thony Voks, kama bodo mpe sikio kama tayari ipi kali kwako kati ya hizi Thony voks the 1st conversation the 2nd conversation (Hatari) the 3rd conversation (God forgive me) the 4th conversation (Industry )...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

    Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana. Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo...
  11. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhalini wapenzi wa soka na mpira kwa ujumla

    Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi. Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mama yake Diamond ana hizi tabia kwa kile Wapenzi wa Mwanae ambao Mama wakwe wengine wanazo tusahau Diamond kuja Kuoa

    Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania Muliooa ama Kuwa na Wapenzi wa Kinya-Rwanda

    Habari vipenzi. Ninajiandaa kusuruhisha mahusiano ya mdogo wangu aliechumbia mnyarwanda, familia hii imeishia Tanzania tangu 1980. Hivyo mdogo wangu baada ya kupata mchumba kwenye familia ile na alifurahi kweli. Mwezi wa kumi na mbili tulienda kujitamburisha rasimi. Na tukiwa na furaha...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

    Wakuu Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani. Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku? Au kuko na shida mahali?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Weka picha mbalimbali za wapenzi wa Simba wakiwa na huzuni

    Niwatakie usiku mwema
  18. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi husikiliza marafiki zao wa kiume zaidi kuliko wapenzi wao linapokuja suala la mahusiano. Lakini je, hii ni sahihi?

    1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki. 2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

    MAONI YANGU Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
Back
Top Bottom