wanne

Wanne-Eickel Hauptbahnhof is a railway station in the former city of Wanne-Eickel, now part of Herne in western Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Tabora

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne wakazi wa Kata ya Usunga Wilaya ya Sikonge kwa kosa la kumuuwa Alfred Lusamalo aliyekuwa Diwani (CCM) miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020. Waliohukumiwa kunyongwa ni Nelson Mlela (37), Masemba Lusangija...
  2. Inside10

    Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  3. sky soldier

    Je, ni aibu, kwa familia ambayo wazazi walikuwa watumishi wa serikali lakini hakuna mtoto aliye serikalini?

    Nauliza hili swali niweze kupata viewpoint yenu maana kuna baadhi ya watu nawashangaa wanasema watoto wameaibisha wazazi wao ila mimi naona hawapo sawa kwasababu kazi hazirithishwi, Nyie mnaona vp? baba alikuwa ni engineer shirika kubwa tu, Mama alikuwa ni Muhasibu taasisi flani ya mambo ya...
  4. Brain Kingdom

    Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

    Hello JF, Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na...
  5. Jidu La Mabambasi

    Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

    Inauma! Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi. Kwa mzee Samwel Malecela imekuwa kinyume. Kwa kushuhudia msiba wa mtoto wake wa nne, imesikitisha sana. Nimehudhuria shughuli za kumuaga Le Mutuz, Le Mbebez, William Samwel Malecela. RIP Le Mutuz
  6. BARD AI

    Askari Polisi waua majambazi wanne Dodoma

    Majambazi wanne wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, wameuawa na polisi wakiwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi kwa kutumia silaha eneo la Kisasa jijini hapa. Majambazi hao walivamia nyumba ya Edina Joseph (41) jana saa tatu usiku kwa kuruka uzio wa nyumba yake wakiwa...
  7. B

    Iringa: Wanne wadaiwa kufariki Dunia mgodini kwa kufukiwa na kifusi

    Watu wanne ambao ni wachimba madini, wamefariki kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga katika eneo la machimbo ya madini ya dhahabu yaliyopo Kijiji cha Igomaa wilayani Mufindi mkoani Iringa, huku wengine watatu wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, amethibitisha kutokea...
  8. JanguKamaJangu

    Dar: Watu wanne wa familia moja wafariki baada ya kuvuta hewa chafu ya jenereta

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la vifo vya watu wanne wa familia moja ambao wamepoteza maisha baada ya kuvuta hewa chafu ya moshi kutoka kwenye jenereta walilowasha ndani ya nyumba na baadae kulala Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro...
  9. D Metakelfin

    Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Wale vijana niliowasaidia kwa kuwapeleka site wakaungane na mafundi wangu(japo hawana ujuzi wa ufundi) Baada ya kutangaza kwamba vijana wasio na ujuzi ila wanahitaji walau kutoboa kimaisha kwa kujifunza ujuzi wowote niliwachagua hawa nane kwa sababu zangu flani na usiriaz walioonyesha Vijana...
  10. Sifi Leo

    Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo. Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
  11. Roving Journalist

    Kigoma, Uvinza: Wananchi waua Askari wa akiba 3 waliodaiwa kutaka kufanya unyang'anyi wa ng'ombe

    Tukio kubwa limeripotiwa kutokea mkoani Kigoma, Wilaya ya Uvinza ambapo Askari wanne wameuawa kwa sababu walitaka kuwanyanganya ng’ombe wafugaji wa jamii ya kisukuma kwenye msitu wa Kagera, Nkanda. Askari hao wanadaiwa kumpiga risasi mchungaji baada ya kuwagomea wasichukue ng'ombe na wafugaji...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

    Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau. Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio...
  13. Replica

    Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  14. BARD AI

    Ajali nyingine yaua watano Kilimanjaro, wanne wajeruhiwa

    Watu watano wamefariki dunia papo hapo baada ya lori lililobeba katoni za maji ya kunywa kufeli mfumo wa breki katika eneo la mteremko barabara ya Mwika-Himo na kuigonga kwa nyuma gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah lililokuwa likitokea Rombo kwenda Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo...
  15. BARD AI

    Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

    Watu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga...
  16. BARD AI

    Watumishi wanne wakamatwa Handeni, 27 wasakwa

    Jeshi la Polisi limewakamata viongozi wanne wa Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga kwa tuhuma za kuuza ardhi ekari zaidi ya 500 na mbao 1,000 kinyume na utaratibu. Viongozi hao wamekamatwa leo Jumapili Novemba 13, 20 kufuatia agizo la Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba. Mgumba ametoa agizo...
  17. Championship

    Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia. Tanzania (mwaka 2022) Wanawake 31,687,990 Wanaume 30,053,130 Duniani (mwaka 2021) Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%) Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni...
  18. MK254

    Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia.... Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's...
  19. BARD AI

    Kenya: Maafisa wanne wa Kikosi Maalumu (SSU) kinachotuhumiwa kuteka na kuua watu kufikishwa Mahakamani leo

    Walikuwa sehemu ya Kikosi Maalumu cha Upelelezi ambacho kilivunjwa na Rais William Ruto kwa madai ya kutekeleza mauaji ya kiholela na kutoweka kwa washukiwa kwa miaka kadhaa. Miongoni mwa wanaodaiwa kuwa waathirika ni raia wawili wa India waliotoweka mwezi Julai na mabaki yao kugunduliwa wiki...
  20. BARD AI

    Ajali ya Lori na Bajaji yaua wanne Mafinga

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori kugongana na Bajaj katika eneo la Kinyanambo- Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dk Victor Msafiri amesema ajali hiyo ilitokea jana usiku. Dk Msafiri amesema walipokea miili ya wanaume wawili, mwanamke...
Back
Top Bottom